Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,805
Mleta thread ni Mkuda kuna siku alikuja na thread yake hapa jamvini akasema anasoma Harvard University watu wakamwambia arushe picha kawa mkali...... Ngoja nitafute hiyo thread....... Yaani usome Harvard mpaka kuja kumtia mwanafunzi mimba.... Only in Tanzania