Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu

Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu

nazani hata iyo username yako ni jipu linalohitajika kutumbuliwa kwnz kabla ya iyo mimba ya binamu.. puppa ndo zilikufanya ukatia mimba na izo izo puppa zako ndo zinakufanya utake utoe mimba,kama haitoshi izo puppa zako zitakuletea matatizo makubwa sana apo mbeleni kidogo...ebu acha puppa kijana fikiri kabla ya kutenda hlf ruhusu busara zikuongoze na sio puppa kama username yko inavokubariki.
 
Last edited by a moderator:
ngoja na wewe binti yako azae na mtoto wa dadako
 
Baada ya kuachwa na mpenzi wangu niliumia sana, niliamua kutopenda tena wanawake na maamuzi niliyopanga kila mwanamke atakayekatiza mbele yangu nampiga dushe ili kupoza machungu.

Kwa bahati mbaya nikamlamba mtoto wa anko ana 17, leo amenipigia simu ananiambia ana mimba yangu.

Ushauri naombeni je hiyo mimba ni yangu au nimepigwa changa, vilevile nimepanga kuichomoa ili kufuta noma na aibu nyumbani.

hapo kwenye red: ulifanya maamuzi magumu, unapiga dushe hadi dada zako halafu unalilia hapa unaomba ushauri. mbaya zaidi unaomba ushauri wakati umeamua tayari kuwa mimba unainyofoa. halafu unataka tukushauri kama mimba ni yako au umebambikwa, sisi tutajuaje? bila shaka wewe ni mvulana sio mwanaume?
 
Nadhani kuna tatizo katika akili za vijana za vijana waliozaliwa miaka ya themanini.......
Wana hitirafu kubwa sana katika viwango vya kufikiria na kuchanganua mambo ya msingi hata yale yanayowahusu wao.......
Sehemu ndogo ya akili zao na nguvu zao wamezielekeza kwenye ngono na starehe.........maswala ya msingi yanayowahusu wao na maisha yao wamewaachia watu wachache wawaamulie huku wao wakisubiri kulaumu tu......

Bado napata wasiwasi kuwa tunaelekea wapi kama taifa ikiwa hizi ndio fikra za vijana tunaowategemea walijenge taifa kwa manufaa ya sasa na ya baadae........
MUNGU TENDA MIUJIZA KWA VIJANA WETU.....

Hapo kwenye vijana waliozaliwa miaka ya the ma nini,tuombe radhi mmkuu wengine tuko poa kabisa fkra ni pevu
 
Shukuru Mungu umempa Mimba na yeye hajakupa Ukimwi,
 
So Yesu ameenda mbinguni siku 2 zilizopita? daaaaaaah
wewe yesu haji leo bado sana. biblia inasema miaka elfu moja kwa mungu ni sawa na siku moja, sasa ni miaka elfu mbili kwa Mungu ni sawa na siku mbili . siku mbili tu zimepita tangu yesu aondoke halafu leo unataka arudi hata maumivu hajasahau bado.
 
Acha dhambi.

ukistili mke ndugu huzai nae
Hiyo ndio tafsiri yake.

Muache azae kwani binamu si haramu.

Hiyo si aibu kwani ni vizuri ukoo haujaenda mbali.
 
Fikiria upya hasira hasara eti unapiga kila anaekatisha mbele yako dushe tena kavu unadhani unweza shidana papuche wewe huwezi shindana na kilichokuzaa utaumia zaidi utakapoukwaa ukimwi!!!!!!!!!!!!!
 
Nyie ndo huwa mnasababisha watoto wazaliwe vichwa vikubwa na mgongo wazi. Hivi unawezaje kumvua chupi mtoto wa ancle wako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom