Ushauri: Nimelogwa au ni upendo?

I beleive huu ni ushauri mbaya, una mshauri jamaa awe player, remmber ukichagua kwenda njia hiyo there is no going back. Halaf kaka unashindwa kutofautisha kati ya mwanamke na msichana..
Mwanamke ambae unampenda yeye anakuona poyoyo huyo ni msichana .. why? Sababu anapenda kuwa abused, kutukanwa, kudharauliwa.. ndio anapata ile adrenaline rush na kusikia raha. Hiyo hali ni so addictive.
real woman in other hand hawapend kuwa abused, show them love nao watakupenda kama ulivyo.

The thing is jamaa anatakiwa awe na msimamo haswa. Yani ni O au 1. Dem akianza mizinguo piga chini instantly chukua mwingine. Dont cheat maana huo ni upotev wa muda na resource.

+ kama unachange tabia yako from good person to be a player, kuwa mbabe ,kuwa na roho mbaya ili tu umridhishe mwanamke basi utakuwa hauko na mtu sahihi.. mtu anaetaka kuwa nawe atavumilia mapungufu yako lakin si kukulazimisha.
Sijasema awe na roho mbaya don't quote me wrong. Ila jamaa mm nimemuona mpole sana hivi ww unaweza anavyoweza mleta mada? Mtu anakwambia hakutaki wewe upo tu mtu ana mtu wake na hakufichi upo tu anakwambia bhana jaribu kunisahau anakuja kulalalamika hawezi ameshajaribu sana ameshindwa ww unataka afanye? I know everybody loves to be loved ila sababu nimeona huo moyo wa upendo mdogo wangu anao ndio maana najaribu kubalisha ili siku ingine asiumie sana hakatzwi mtu kupenda ila sio to the extent ya kuwa psychological tortured kama mleta mada aachane na huyo mwanamke na njia nzuri ni kuwa na totow ingine nzuri tu ila sababu moyo wake laini laini abadili badili kwanza atakinai hatoumizwa tena na mapenzi ni hivi penda mtu ila isiwe sababu ya mateso there is so much important things to focus on.

Sent from my FIG-LA1 using JamiiForums mobile app
 
I got you bro... hapa nimekuelewa
 
Mm nilijua unalilia bikra kumbe unalilia single maza kakuacha kama vp mpotezee tu tafuta kijana mwenizio
 
Kwanza jitahidi muda mwingi uwe busy,alafu ondoa a in a yoyote ya kumbukumbu yake kuanzia picha mpaka NAMBA za simu futa zote,alafu jitahidi kutafuta pesa mkuu usipende kulialia maana inaonyesha huyo single mother alikuwa anakulea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom