Ushauri: Nimekamatwa live na condoms, najiteteaje?

Ushauri: Nimekamatwa live na condoms, najiteteaje?

mwam
Wakuu kwa kweli nimeishiwa ujanja wote.

Mpenzi wangu kakuta condoms kwenye suruari yangu imekua kesi kubwa balaa.

This is second time anakuta condoms ingawa mara ya kwanza nilimshawishi kua ni za rafiki yangu alizisahau ndani ila this time kazikuta kwenye suruari imekua balaa,kawa mkali kama mbogo.

Hapa analia tu toka jana usiku,huyu binti ana wivu balaa,nimesema hadi nimeishiwa haelewi anataka nimwambie ukweli kuhusu huyo mwanamke mwngine.

Huyu binti ashawahi kukuta meseji za whatsapp kwwnye sim yangu akanywa sumu,tulifanya jitihada za ziada kuokoa maisha yake,sasa nahofu asije kurudia kufanya huo ujinga.


mwambie anipm nitaongea nae mimi; mpaka hapa ushaishiwa sera tayari so utasababisha mtoto wa watu anywe tena sumu na ujue akinywa sumu maana yake umehusika kwenye hicho kifo na segerea inakusubilia
 
simple tu huyo hataki muachane anataka kuambiwa ukweli...sasa unapata stress za nn?!
 
Sasa umeshindwa kumwambia kuwa umekuwa tester.....!
 
Mimi niliyaona haya mapema nikamwambia mama njia salama ya uzazi ni condom tutumie nikikutwa nazo wala
......natania tu jmn
 
Mwambie kwa jirani kuna besidei pati, so wameniagiza baloons nimezikosa ndo nikaaumua kununua condoms
 
Mbona hilo kosa unakana tu huku macho makavu....wa2 tunakutwa n vyupi n sidiria tunakana sembuse condom
 
Wakuu,

Kwakweli nimeishiwa ujanja wote.Mpenzi wangu kakuta condoms kwenye suruali yangu imekua kesi kubwa balaa.

This is second time anakuta condoms ingawa mara ya kwanza nilimshawishi kuwa ni za rafiki yangu alizisahau ndani ila this time kazikuta kwenye suruali imekuwa balaa,kawa mkali kama mbogo.

Hapa analia tu toka jana usiku,huyu binti ana wivu balaa,nimesema hadi nimeishiwa haelewi anataka nimwambie ukweli kuhusu huyo mwanamke mwingine.

Huyu binti ashawahi kukuta meseji za whatsapp kwenye simu yangu akanywa sumu,tulifanya jitihada za ziada kuokoa maisha yake,sasa nahofu asije kurudia kufanya huo ujinga.
Nyie ni walewale mnaotubadirishia tabia wanawake mnatake advantage ya kupendwa na wanawake wenu
 
Uaminifu ni kitu cha bure sana... pole sana..
 
Ulivyokuwa unaziweka mfukoni ulituuliza? Utakula ulikopeleka mboga mpuuz we
 
Stupid gal mwache anywe sumu tena hasara kwa wazazi wake! Loh sumu kisa mwanaume? Jitu umekutana nalo ukubwani loh!
 
Mtu anayetumia cndm huwa hakamatwi nazo tatizo umenunua cndm halaf ukapiga mbichi
 
Back
Top Bottom