bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 869
Huu ni ushauri wa nguvu za giza,hilo boma siyo liability bali ni fixed asset sijui mnaita non current asset siku hizi na hiyo siyo liability kwasababu hamna cost zozote anazo incurr hapo na ukumbuke kuwa land huwa ina appreciate na hai depreciate isituingize chaka,kwanza akiuza sasa hivi lazima wamlalie kwakuwa watajua anashida aache hivyo hata 10 years hata asipojenga yeye watajenga watotoKodi siku hizi easy tu na serikali ishasisitiza kulipia kodi kwa mwezi mmoja hamna kulipa kwa miezi 6 tena.
Kwenye maisha kuna liability na asset.....hiyo nyumba sio asset tena Bali ni liability... Ni Mzigo kwako. Na hapa ndio inabidi uoneshe uanaume wako..usidhani kuwa na paipu pekee ndio uanaume. No..hapa ndipo mashujaa wakiume wanapimwa. Kila la kheri mkuu.
If you can't take risk how will you succeed?
Ningekuwa na muda ningekupa somo moja muhimu sana la "Comfort zone"
Then what's next?