USHAURI; Nifanyeje ili kuweza kufaulu Oral Interview

de solver, post: 24259887, member: 415752"]Haha Sasa mkuu ukijiamin afu unaongea broken English si Wana ku disqualify[/QUOTE],how you say matter than what you say, kwenye interview ukiongea kwa ujasiri hata kama umekosea hawakutupi
 
Hapa kikubwa ni confidence tu ndio maana materials zinaama kichwani soma vitabu vya kuboost confidence yako mimi nilishawahi kuwa nayo siku ya interview nikanywa konyagi alafu nikapiga mswaki kisha nikaoga nilipofika eneo la interview nilisahau mpaka nilichoandika kwenye cv nikabaki nashangaa kama mgeni ubungo
noma sana nimecheka kinoma sana mkuu
 
1. LACK OF CONFIDENCE
2. LANGUAGE IMPROFFICIENCY
3. INCOMPETENCY

**UTAZEEKEA MTAANI KAMA UMESHNDWA HADI KUTUSUA KAZI ZA CUSTOMS ZILIZOKUWA NYING UTAWEZA HZ KIDUCHU?

MKUU UMESHNDWA HADI KUELEZEA EAC

1. EAC NI NIN
2. IMEANZISHWA MWAKA GAN
3. MEMBER STATES
4. LENGO KUU.. UNGEMALIZA, SHORT AND CLEAR NDANI YA DK 2 TU.
 
Hapa kikubwa ni confidence tu ndio maana materials zinaama kichwani soma vitabu vya kuboost confidence yako mimi nilishawahi kuwa nayo siku ya interview nikanywa konyagi alafu nikapiga mswaki kisha nikaoga nilipofika eneo la interview nilisahau mpaka nilichoandika kwenye cv nikabaki nashangaa kama mgeni ubungo
Hahahahahahaahahahahahah.........................................
 
Back
Top Bottom