thehunk
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 527
- 221
Jamani naombeni msaada juu ya kushinda interview hasa ya oral kwani kwangu limekuwa tatizo nimeshafanya interiview nyingi lakini zote nimeshindwa kwani mpaka sasa bado nipo nyumbani mfano mzuri leo nimetoka kufanya interview moja ambayo written nilifanya vizuri sana ikaja excel nayo vizuri sana mpaka wakaanza kuniulizia vituo vya kazi ambavyo naweza kufanya kazi sasa nikawaambia basi juzi wakanipigia simu na kuja kumalizia oral interview ili process zingine ziendelee hapo ndo wakawa na doubt kabisa na mpaka kujiuliza mara 2 na kuniambia nisubiri wata contact japo nahisi kama ni njia nyingne ya kuniambia kuwa si ja qualify na maswali nayoulizwa huwa ni yale yale ya kila siku 1. tell us about your self@.what do you think you are the right person who we looking for 3.what is your weakness 4.what do yuo know about this position lakini nashindwa .....bora hii interview yangu ya kwanza mpaka wakanishangaa kuwa ni mimi kweli niliye score vile na kile ninacho delivered kwenye oral manaa ilikuwa tofauti naombeni msaada jamani japo ushauri niweze kushinda oral interiview kwani next week na interivew mbili moja ndo kazi ninayoipenda na kuisomea na sio siri naitaji kuishinda hii interview siko tayari kuipoteza hii chance kwani naona kama ndo my last shot i have ......
natangliza shukrani
natangliza shukrani