Cha msingi kinachowa kwamisha vijana wengi ni lugha wakikuambia uongee kiswahili basi usichanganye hali kadhalika wakikuambia kingereza basi usitoke nje ya hapo hii ni moja ya ujuzi wa lugha kama hapo upo vizuri subiri wengine watakuja kukupa mbinu nyingineHabari zenu wakuu,Kiukweli kabisa naweza kusema kutopata kazi kwangu toka nimalize chuo 2014 kwa % kubwa tatizo ni mimi mwenyewe maana hadi sasa nimekwishafanya interview nyingi tu na namshukuru Mungu kwani sijawahi kukwama kwenye written lkn sasa kila nikifika Oral hollaa.
Kibaya zaidi wakati mwingine maswali yote nayoulizwa nayajua ila majibu yanatoweka kbs kichwani najikuta najibu point moja au nashindwa kbs hadi linaulizwa swali jingine.
Kwa kumbukumbu za hivi karibuni ni hizi kazi za TRA nilifanya usahili wa customs officer lkn hakuna cha maana nilichojibu na sio kwamba maswali yalinishinda! Laa hasha majibu yalitoweka kwenye chumba cha usahili
Imefikia hatua najilaumu kwa nini sikusomea kazi ambazo hazikuwa na interview kama ualimu au ningeenda tu jeshini/polisi maana hii ni aibu kubwa kujitambulisha nimesoma UDSM halafu kuelezea hata EAC nashindwa.
Sijui hata nifanyeje wakuu maana mda unaenda na madesa nayo yanazidi kuyeyuka kichwani
Daa! Hiyo kitu inanitesa sana aisee.Kibaya zaidi sina tatizo na lugha ya kiingereza kwenye kuongea nje ya chumba cha usahili au eneo lolote.mkuu,mimi pia mwanzo nilikua kama wewe ila after knowing my weakness,nilibadili mbinu zangu,mpaka sasa ukiniita oral basi nakua na matumaini 95% ya kupata kazi.kikubwa ni kujiamini hata kama unaongea broken English
Haha Sasa mkuu ukijiamin afu unaongea broken English si Wana ku disqualifymkuu,mimi pia mwanzo nilikua kama wewe ila after knowing my weakness,nilibadili mbinu zangu,mpaka sasa ukiniita oral basi nakua na matumaini 95% ya kupata kazi.kikubwa ni kujiamini hata kama unaongea broken English
Aah umenikumbusha Kuna mdau humu alishawai sema aliji boost na Abv 35% Alc. Alipofika ndani ya room alijibu mpaka ambavyo hakuuliuzwa.Hapa kikubwa ni confidence tu ndio maana materials zinaama kichwani soma vitabu vya kuboost confidence yako mimi nilishawahi kuwa nayo siku ya interview nikanywa konyagi alafu nikapiga mswaki kisha nikaoga nilipofika eneo la interview nilisahau mpaka nilichoandika kwenye cv nikabaki nashangaa kama mgeni ubungo
Habari zenu wakuu,Kiukweli kabisa naweza kusema kutopata kazi kwangu toka nimalize chuo 2014 kwa % kubwa tatizo ni mimi mwenyewe maana hadi sasa nimekwishafanya interview nyingi tu na namshukuru Mungu kwani sijawahi kukwama kwenye written lkn sasa kila nikifika Oral hollaa.
Kibaya zaidi wakati mwingine maswali yote nayoulizwa nayajua ila majibu yanatoweka kbs kichwani najikuta najibu point moja au nashindwa kbs hadi linaulizwa swali jingine.
Kwa kumbukumbu za hivi karibuni ni hizi kazi za TRA nilifanya usahili wa customs officer lkn hakuna cha maana nilichojibu na sio kwamba maswali yalinishinda! Laa hasha majibu yalitoweka kwenye chumba cha usahili
Imefikia hatua najilaumu kwa nini sikusomea kazi ambazo hazikuwa na interview kama ualimu au ningeenda tu jeshini/polisi maana hii ni aibu kubwa kujitambulisha nimesoma UDSM halafu kuelezea hata EAC nashindwa.
Sijui hata nifanyeje wakuu maana mda unaenda na madesa nayo yanazidi kuyeyuka kichwani
Hapa kikubwa ni confidence tu ndio maana materials zinaama kichwani soma vitabu vya kuboost confidence yako mimi nilishawahi kuwa nayo siku ya interview nikanywa konyagi alafu nikapiga mswaki kisha nikaoga nilipofika eneo la interview nilisahau mpaka nilichoandika kwenye cv nikabaki nashangaa kama mgeni ubungo