USHAURI; Nifanyeje ili kuweza kufaulu Oral Interview

mps

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
360
477
Habari zenu wakuu,Kiukweli kabisa naweza kusema kutopata kazi kwangu toka nimalize chuo 2014 kwa % kubwa tatizo ni mimi mwenyewe maana hadi sasa nimekwishafanya interview nyingi tu na namshukuru Mungu kwani sijawahi kukwama kwenye written lkn sasa kila nikifika Oral hollaa.

Kibaya zaidi wakati mwingine maswali yote nayoulizwa nayajua ila majibu yanatoweka kbs kichwani najikuta najibu point moja au nashindwa kbs hadi linaulizwa swali jingine.
Kwa kumbukumbu za hivi karibuni ni hizi kazi za TRA nilifanya usahili wa customs officer lkn hakuna cha maana nilichojibu na sio kwamba maswali yalinishinda! Laa hasha majibu yalitoweka kwenye chumba cha usahili

Imefikia hatua najilaumu kwa nini sikusomea kazi ambazo hazikuwa na interview kama ualimu au ningeenda tu jeshini/polisi maana hii ni aibu kubwa kujitambulisha nimesoma UDSM halafu kuelezea hata EAC nashindwa.

Sijui hata nifanyeje wakuu maana mda unaenda na madesa nayo yanazidi kuyeyuka kichwani
 
Cha msingi kinachowa kwamisha vijana wengi ni lugha wakikuambia uongee kiswahili basi usichanganye hali kadhalika wakikuambia kingereza basi usitoke nje ya hapo hii ni moja ya ujuzi wa lugha kama hapo upo vizuri subiri wengine watakuja kukupa mbinu nyingine
 
Confidense ! Hata the way unavyo kaa kuwa face wale jamaa wana jua kabisa huyu mtu mbona kama ana wewe seka hivi hio hicho tu ni kigezo tosha kuweza kuku disqualify. Ila ipo siku utakutana na kazi ya aina yako uta tusua vzuri tu bila shida...
 
mkuu,mimi pia mwanzo nilikua kama wewe ila after knowing my weakness,nilibadili mbinu zangu,mpaka sasa ukiniita oral basi nakua na matumaini 95% ya kupata kazi.kikubwa ni kujiamini hata kama unaongea broken English
 
Daa! Hiyo kitu inanitesa sana aisee.Kibaya zaidi sina tatizo na lugha ya kiingereza kwenye kuongea nje ya chumba cha usahili au eneo lolote.
 
mkuu,mimi pia mwanzo nilikua kama wewe ila after knowing my weakness,nilibadili mbinu zangu,mpaka sasa ukiniita oral basi nakua na matumaini 95% ya kupata kazi.kikubwa ni kujiamini hata kama unaongea broken English
Haha Sasa mkuu ukijiamin afu unaongea broken English si Wana ku disqualify
 
Kasome English Course wala husione Aibu hata kidogo ukimaliza njoo nikutoe Aibu

Na njia mojawapo "ntakupeleka stendi za Mabasi na Mikutano ya wajisiriamali " hili nijue tatizo liko wapi.

Its too Agressive lakn itakubidi wewe kuvumilia
 
mm nakushauri nenda ukasome english coarse ubaloza wa marekan au uingereza

wana mbinu nying ikiwemo midaharo ambayo itaboost confidence yako ndan ya miez mitatu utakua vzr

hutojutia mkuu jarbu nilichokushauri
 
Hapa kikubwa ni confidence tu ndio maana materials zinaama kichwani soma vitabu vya kuboost confidence yako mimi nilishawahi kuwa nayo siku ya interview nikanywa konyagi alafu nikapiga mswaki kisha nikaoga nilipofika eneo la interview nilisahau mpaka nilichoandika kwenye cv nikabaki nashangaa kama mgeni ubungo
 
Aah umenikumbusha Kuna mdau humu alishawai sema aliji boost na Abv 35% Alc. Alipofika ndani ya room alijibu mpaka ambavyo hakuuliuzwa.
 
Habari zenu wakuu,Kiukweli kabisa naweza kusema kutopata kazi kwangu toka nimalize chuo 2014 kwa % kubwa tatizo ni mimi mwenyewe maana hadi sasa nimekwishafanya interview nyingi tu na namshukuru Mungu kwani sijawahi kukwama kwenye written lkn sasa kila nikifika Oral hollaa.

Kibaya zaidi wakati mwingine maswali yote nayoulizwa nayajua ila majibu yanatoweka kbs kichwani najikuta najibu point moja au nashindwa kbs hadi linaulizwa swali jingine.
Kwa kumbukumbu za hivi karibuni ni hizi kazi za TRA nilifanya usahili wa customs officer lkn hakuna cha maana nilichojibu na sio kwamba maswali yalinishinda! Laa hasha majibu yalitoweka kwenye chumba cha usahili

Imefikia hatua najilaumu kwa nini sikusomea kazi ambazo hazikuwa na interview kama ualimu au ningeenda tu jeshini/polisi maana hii ni aibu kubwa kujitambulisha nimesoma UDSM halafu kuelezea hata EAC nashindwa.

Sijui hata nifanyeje wakuu maana mda unaenda na madesa nayo yanazidi kuyeyuka kichwani

Tukiwaambia elimu ya tz ni chaka mnatutukana. Elimu isiyo ku-indoctrinate confidence and art of thinking ni ya hovyo. Na elimu yetu ya tz hasa katika vyuo iko hivyo bora hata secondary anayekufundisha mwingine anayekutungia mitihani ya mwisho mwingine....vyuo prof akiwa mbovu atakufundisha kiubovubovu na yeye anakutungia mitihani ujibu kwa matakwa yake.....at the end unasahau hata East Africa Community ni nini....!!!
 
Hahaha hii imetutokea wewengi yote vinavepa kichwani
Hapa kikubwa ni confidence tu ndio maana materials zinaama kichwani soma vitabu vya kuboost confidence yako mimi nilishawahi kuwa nayo siku ya interview nikanywa konyagi alafu nikapiga mswaki kisha nikaoga nilipofika eneo la interview nilisahau mpaka nilichoandika kwenye cv nikabaki nashangaa kama mgeni ubungo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom