Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,699
Ila mfano ndio Anko wako huyo. Unaweza kumkataa road 😅😅😅Kabisa. Mwisho wa siku huwezi ridhisha walimwengu bora ujiridhishe mwenyewe tu.
Ila mfano ndio Anko wako huyo. Unaweza kumkataa road 😅😅😅Kabisa. Mwisho wa siku huwezi ridhisha walimwengu bora ujiridhishe mwenyewe tu.
🤣🤣🤣Tatizo hakwepeki maana akikuona yeye kwanza anaweza akapiga kelele kukuita akiwa upande wa pili wa barabara, sasa hapo unamkataaje. Mbaya zaidi ukute umekuja mjini na umefikia kwake.Ila mfano ndio Anko wako huyo. Unaweza kumkataa road 😅😅😅
Ndio maana natembea nimevee earphones,hata kama sisikilizi kitu.😅😅😅🤣🤣🤣Tatizo hakwepeki maana akikuona yeye kwanza anaweza akapiga kelele kukuita akiwa upande wa pili wa barabara, sasa hapo unamkataaje. Mbaya zaidi ukute umekuja mjini na umefikia kwake.
Kiunyonge unamfuata tena🤣
Jaman muwe mnatusaidia kuwaelewesha hawa jamaa, siku moja nlimkuta jiran yangu yupo na vijana wa mtaani wanakula bia sehemu yule jiran nlikuwaga nammezea mate kwa mbali, nilimsalimia nikajifanya sina habari nae wakati nataka kusepa nikavizia anaenda washroom nikaenda nikampa 20 ya nauli nikasepa, kesho wacha aje wangu wanguWe nae sasa ulishindwa kumuachia kanamba kako na kiji elf 10 ajiongeze yeye
Unaona sasa ye kaona akitoa atakuwajeJaman muwe mnatusaidia kuwaelewesha hawa jamaa, siku moja nlimkuta jiran yangu yupo na vijana wa mtaani wanakula bia sehemu yule jiran nlikuwaga nammezea mate kwa mbali, nilimsalimia nikajifanya sina habari nae wakati nataka kusepa nikavizia anaenda washroom nikaenda nikampa 20 ya nauli nikasepa, kesho wacha aje wangu wangu
Kabisaa mbona hiyo mbinu yangu ya miaka yoteeUnaona sasa ye kaona akitoa atakuwaje
Mpe tena usimpe nafasi ya kusema asante ili akutafute akwambie asantee
Nayo mpaka tuwaelekezeKabisaa mbona hiyo mbinu yangu ya miaka yotee
Mwanamke anayekukubali atakurahisishia kazi.Kuna pisi niliielewa kitambo nikawa nimepromise kumtafuta. Akacheka tu. Sasa Leo nimetinga kazini kwake. Kuniona tu akawa haeleweki. Kiufupi kama akawa unstable kind of. Sasa nikamuita anagoma kuja. Nikamwomba namba. Anasema yupo kikazi siku nyingine. Nikasepa zangu.
Kazini kwao kuna wapo wenzake wengi inawezekana aliogopa katoa namba CCTV. Lakini pia inawezekana alikataa diplomatically. Should I go on persuing her?
Daah kiji elf 10? Mbona umekidogodesha sana?We nae sasa ulishindwa kumuachia kanamba kako na kiji elf 10 ajiongeze yeye
😀😀😀😀😀😀Daah kiji elf 10? Mbona umekidogodesha sana?