- Thread starter
- #21
Kama hataki si angesema no. Maana yeye ndo alinipa green light Mara yaa kwanza. Nilimuuliza do you have a boy friend akasema no. Nikasema nitarudi๐๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Atakua anaogopa CCTV camera...!!
Kama hataki si angesema no. Maana yeye ndo alinipa green light Mara yaa kwanza. Nilimuuliza do you have a boy friend akasema no. Nikasema nitarudi๐๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Atakua anaogopa CCTV camera...!!
๐๐๐kwisha habariAkifika hapo home, akiambiwa jiskie upo nyumbani, atahamishia na nguo zake zote ๐ ๐
๐๐๐๐๐kijana wa hovyoAkiguswa ataenda kujitambulisha kwa wazee wake kabisa๐๐๐
Jinga kabisa ๐Akifika hapo home, akiambiwa jiskie upo nyumbani, atahamishia na nguo zake zote ๐ ๐
๐ kuna jamaa yangu kipindi tupo chuo KE akija kukaa nae karibu anachanganyikiwa kabisa, KE walivyojua udhaifu wake wakawa wanamchezea sana ila hakuwai kula hata m1. Ni msukuma ๐Akifika hapo home, akiambiwa jiskie upo nyumbani, atahamishia na nguo zake zote ๐ ๐
Kuwa makini kijana. Mji wa watu juu ๐Jinga kabisa ๐
Kuna wenzetu wanatutia aibu sana aisee,,, huyu ndo mtoro wa vikao huyu [emoji16][emoji16]We nae sasa ulishindwa kumuachia kanamba kako na kiji elf 10 ajiongeze yeye
๐๐๐๐amewadhalilishaKuna wenzetu wanatutia aibu sana aisee,,, huyu ndo mtoro wa vikao huyu [emoji16][emoji16]
Hatuhongani๐๐hatuhongi
HaichekeshiYaani huyo kashakujua wewe ni kibamia .....so anogopa kuchafuliwa mwili wake....
Mungu kakuepusha na dhoruba la jini muflis lakini bado unang'ang'ania kujipeleka.Kuna pisi niliielewa kitambo nikawa nimepromise kumtafuta. Akacheka tu. Sasa Leo nimetinga kazini kwake. Kuniona tu akawa haeleweki. Kiufupi kama akawa unstable kind of. Sasa nikamuita anagoma kuja. Nikamwomba namba. Anasema yupo kikazi siku nyingine. Nikasepa zangu.
Kazini kwao kuna wapo wenzake wengi inawezekana aliogopa katoa namba CCTV. Lakini pia inawezekana alikataa diplomatically. Should I go on persuing her?
Kwani uliambiwa hii ni comedy forum au??Haichekeshi
Jamaa kuoneshwa tabasam kidogo tu, kaenda mpaka kazini kwa manzi ๐ ๐ ๐
Hivi watu wanawezagaje kuvaa rangi moja hivi? ๐ ๐ ๐View attachment 2545371
Mwamba katinga kazini kwa manzi anajichekesha chekesha kwa mbali๐คฃ
Ukute mpaka chupi kamechisha.Hivi watu wanawezagaje kuvaa rangi moja hivi? ๐ ๐ ๐
ImagineAngetaka kukupa namba angekupa. Kakukataa kiutu uzima, jiongeze tu.
Sema mkuu, na ww kuchekewa kidogo tu, umetimba mpaka job kwake [emoji28][emoji28]
๐ ๐ ๐ Sema kwavile yeye anajikubali, it's oky ๐ ๐Ukute mpaka chupi kamechisha.
Ukiwa na ujasiri wa kuvaa hivyo hushindwi hata kutembea uchi.
Ila mijitu ya design hiyo huwa ina mi confidence ya kipekee.
Kabisa. Mwisho wa siku huwezi ridhisha walimwengu bora ujiridhishe mwenyewe tu.๐ ๐ ๐ Sema kwavile yeye anajikubali, it's oky ๐ ๐