Kuna pisi niliielewa kitambo nikawa nimepromise kumtafuta. Akacheka tu. Sasa Leo nimetinga kazini kwake. Kuniona tu akawa haeleweki. Kiufupi kama akawa unstable kind of. Sasa nikamuita anagoma kuja. Nikamwomba namba. Anasema yupo kikazi siku nyingine. Nikasepa zangu.
Kazini kwao kuna wapo wenzake wengi inawezekana aliogopa katoa namba CCTV. Lakini pia inawezekana alikataa diplomatically. Should I go on persuing her?
Kazini kwao kuna wapo wenzake wengi inawezekana aliogopa katoa namba CCTV. Lakini pia inawezekana alikataa diplomatically. Should I go on persuing her?