Ushauri: Niende Wapi

Ushauri: Niende Wapi

#lin TPDC ni Mikocheni na TANESCO ni Station angalia umbali huo. Thanks kwa ushauri.

duu kwel hapo kaz ipo na tena ni siku ya kazi,ila jaribu tu kufanya hivyo mikocheni kuna chochoro moja la kuinglia tanesco ya mikocheni kupitia msasani then masaki unaibukia surrender bridge,all the best
 
Kwanza Hongera boss.

Angalia wapi kuna probability kubwa ya wewe kupata. Kwa kuangalia idadi ya mlioitwa na chance zilizopo.

Ukishindwa hiyo, mkuu nenda TANESCO. Nawajua TPDC ni waswahili sana. Hiyo saa 6 mchana kwao ni saa 8 mchana. So, ukiona TANESCO umemaliza mapema mida ya saa 5:30 hadi saa 6 mchana, ndio nenda TPDC.
 
Punctuality ni mtihani mgumu Sana kwa ofisi za kibongo hivyo basi we wahi kwanza TANESCO then TPDC hata kama utachelewa 2hrs WE NENDA TU.
NB:One who chases two rabbits at a time,catches non.
KILA LENYE KHERI KIONGOZI!!!
 
kutokana na location wahi ya tanesco asubuh nazani itakua written almost masaa mawili nazani ya tpdc utaiwahi fanya lazima uandae pesa ya Bajaj au piki2 all the best bro
 
Punctuality ni mtihani mgumu Sana kwa ofisi za kibongo hivyo basi we wahi kwanza TANESCO then TPDC hata kama utachelewa 2hrs WE NENDA TU.
NB:One who chases two rabbits at a time,catches non.
KILA LENYE KHERI KIONGOZI!!!

you hit the nail on the head. nina doubt brother atafanya mtihani tnesco wa masaa mawili kwa saa moja ili awawahi wazee wa mafuta
 
Mkuu,

Kazi yetu nikushauri tu,yeye ndo atapembua which is which na akiruka makidamakida inakula kwake!

Asisite tu kutupa kilisha nyuma (feedback)
 
Habari wana JF.
Nimeitwa Interview sehemu mbili TPDC saa 6 mchana na TANESCO saa 3 asubuhi zote tarehe 6/8. Nishauri niende wapi maana siwezi kuwahi zote kutokana na miundombinu ya Dar es Salaam pamoja na suala la muda huenda 3 ikawa saa 5 kama vile waingereza huwa wanavyosema 'no hurry in Africa'.
Ahsante

Kaka naomba nikuambie kitu hapa
Kuna watu wanakushauri vema lakini wanaongeza na Bias zao lakini ukweli ni huu:
Kwanza nimeona mdau mmoja amekuambia kuwa TPDC wapo lumumba, hapana. Interview mnafanyiwa Ofisi za Mikocheni karibu na ROSE GARDEN (ULIZA BRAJEC) Kwenye makazi ya Watumishi wa TPDC mule ndani kuna Ofisi. Mimi nimefanya hapo interview.

Pili suala la kwenda wapi, yote yapo ndani ya uwezo wako. Hiyo saa 6 mchana si kwamba ndio utaitwa kuna karatasi utaandika na baadae wanafanya logistics zao ndipo wanaanza kuita mmoja mmoja. Nakumbuka niliitwa saa 2 asubuhi lakini nilifanyiwa interview saa 10 jioni (Japo si lazima iwe kwako)

Tatu. TANESCO hapa naomba niongee kwa uzoefu wangu na ninavyowafahamu kwa ukaribu. TANESCO KUMETAWALIWA NA UJAMAA WA KUTOSHA. Si kwa wote bali kwa kiasi kikubwa sana. Nina ushahidi wa wazi wazi. Nilifanya usahili na mmoja wa watoto wa wakuu wa bodi ya tanesco na ninamfahamu vema na hata nafasi aliyoitwa hafai hata kwa vigezo (narudia namfahamu huyo mtu) Hatima yake yeye aliitwa na yupo kazini hata sasa YAANI TANESCO = UHAMIAJI. Japo napenda kukutia moyo kuwa Mungu yupo na alitakalo huwa hata kama watafanya njama gani

Nne. TPDC wako fare kuliko wadau wanavyowadhania. Namna wanavyoendesha usahili. Usitegemee kukaa ndani ya chumba cha usahili Dk. ishirini, zikizidi sana ni dakika 6 mpaka kumi. Wapo specific sana

Nikutakie kila la kheri Mungu akipenda tutakutana kazini. Usiogope
 
Asante sana mkuu. Nitahakikisaha na survey eneo la tpdc ilinijue mazingira hata kama nachukua boda basi hakuna kubabaika.
 
hongera!me ushauri ni hv,angalia post ambayo una xperience zaidi yan inayofit ur qualification kupta nyngne na ambayo unatambua una uwezo wa kuitendea hak kwa kujbu vzur maswali
 
Asante sana kwa ushauri.
 
Kaka naomba nikuambie kitu hapa
Kuna watu wanakushauri vema lakini wanaongeza na Bias zao lakini ukweli ni huu:
Kwanza nimeona mdau mmoja amekuambia kuwa TPDC wapo lumumba, hapana. Interview mnafanyiwa Ofisi za Mikocheni karibu na ROSE GARDEN (ULIZA BRAJEC) Kwenye makazi ya Watumishi wa TPDC mule ndani kuna Ofisi. Mimi nimefanya hapo interview.

Pili suala la kwenda wapi, yote yapo ndani ya uwezo wako. Hiyo saa 6 mchana si kwamba ndio utaitwa kuna karatasi utaandika na baadae wanafanya logistics zao ndipo wanaanza kuita mmoja mmoja. Nakumbuka niliitwa saa 2 asubuhi lakini nilifanyiwa interview saa 10 jioni (Japo si lazima iwe kwako)

Tatu. TANESCO hapa naomba niongee kwa uzoefu wangu na ninavyowafahamu kwa ukaribu. TANESCO KUMETAWALIWA NA UJAMAA WA KUTOSHA. Si kwa wote bali kwa kiasi kikubwa sana. Nina ushahidi wa wazi wazi. Nilifanya usahili na mmoja wa watoto wa wakuu wa bodi ya tanesco na ninamfahamu vema na hata nafasi aliyoitwa hafai hata kwa vigezo (narudia namfahamu huyo mtu) Hatima yake yeye aliitwa na yupo kazini hata sasa YAANI TANESCO = UHAMIAJI. Japo napenda kukutia moyo kuwa Mungu yupo na alitakalo huwa hata kama watafanya njama gani

Nne. TPDC wako fare kuliko wadau wanavyowadhania. Namna wanavyoendesha usahili. Usitegemee kukaa ndani ya chumba cha usahili Dk. ishirini, zikizidi sana ni dakika 6 mpaka kumi. Wapo specific sana

Nikutakie kila la kheri Mungu akipenda tutakutana kazini. Usiogope

Wewe ndo umezungumza

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
FEEDBACK:
Namshukuru Mungu nimeweza kufanya interview sehemu zote mbili bila usumbufu wowote.
TANESCO wamejitahidi kwa time keeping maana written interview ilianza saa 3:20 tofauti na nilivyofikiri na nilifanya kwa saa moja na dk 20 japo ulikuwa wa masaa 2. Baada ya hapo nikaenda zangu TPDC ambapo nilifika saa 5:40 na kujisajili na kufanya oral interview saa 8:00.
Nilicho experience ni kwamba kwenye interview TPDC wapo serious more than how you can imagine.

Nawashukuru sana wote mlio nishauri.
 
Back
Top Bottom