Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,287
- 70,696
Naomba kujua ni lotion gani nzuri ya kukinga mionzi ya jua, jua likiwa kali uso wangu kwenye mashavu nakuwa mwekundu, mi napaka mafuta ya mgando mwili mzima, sasa nimeona nahitaji lotion au mafuta ya kupaka ili ngozi yangu isiharibike.
Tahadhari usinitajie lotion za kujichubua mimi sijichubui na sihitaji,
kama kuna lotion ya kupaka mchana tu niambie au ya kupaka muda wote niambie ni lotion gani nzuri ninunue na nitapata wapi kwa hapa Mwanza.
Asanteni