Siku mmoja nikiwa nakagua mafaili nikakuta namba zake nikampigia simu.
Nilipojitambulisha akakataa simu akatumia sms kuwa nimwache afe.
Baadae nikaendelea kutumiana nae meseji za kumshawishi atumie dawa lakini ananizungusha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kuwa muoga aseeeBoss tafiti zinaonyesha hivyo sio tu kusema ni kitu ambacho kimefanyiwa tafiti.
Sema tu ule uoga wa kibinadamu
Sent using Jamii Forums mobile app