Ushauri, natokaje hapa?

Ushauri, natokaje hapa?

Huyo ni single mother wa sita una mzalisha mleta mada, inaonyesha somo la self control limekupita mbali

Tulia wewe, nilikuwa na uhakika baada ya kuona kile kijiti…. on to the next one
 
Below standards ila unalala na kuamka nae na kumtia kila unapotaka! Hebu muogope mungu mzee! Mwanamke below standards usingeweza hata kuanzisha mazoea nae!

Demu unapika nae na kupakua miezi 3 now kisha unasema yuko below standards? Tafta demu mwingine wa kuoa huyo muache mzee sikutishi ila ambacho utakutana nacho utamkumbuka huyu wa below standards !!! Mwanamke ambaye ukimpa million 1 anaweza kuifanya ikawa 3 unamuita below standards

Aisee mkuu sio miezi mitatu, ni miezi 7 maana ni kuanzia Disemba 2020…. ila sasa nimefanikiwa kujinasua.
 
Mungu kila mtu humpa mke kwa style yake yani we huyo ndio mkeo

Ni kweli mkuu, ila huyu nimevumilia sana kwa kuwa yalikuwa makosa yangu…. imenigharimu pakubwa.

Ukiishi na mtu ndo utamjua vema, japo ni risk sana ikiwa kinyemela…. na sio heshima pia.
 
Ni kweli mkuu, ila huyu nimevumilia sana kwa kuwa yalikuwa makosa yangu…. imenigharimu pakubwa.

Ukiishi na mtu ndo utamjua vema, japo ni risk sana ikiwa kinyemela…. na sio heshima pia.
Yeah umemjua mapungufu yake mapema😅
 
Ni kweli mkuu, ila huyu nimevumilia sana kwa kuwa yalikuwa makosa yangu…. imenigharimu pakubwa.

Ukiishi na mtu ndo utamjua vema, japo ni risk sana ikiwa kinyemela…. na sio heshima pia.
Na hili ndio nashauri vijana kabla hujaoa ishi na mtu kwanza umuone tabia zake
 
Anatesa watoto kwa zinaa zake wewe uzae na wanawake sita una Hela ya kuwapeleka feza school kweli?
Maskini huzaa hovyo bila kujali future na hatima ya watoto, matokeo yake vibaka na machangu wanazidi mtaani.

Shule sio FEZA tu mkuu ila sipo kwenye kiwango cha kuteseka au kushindwa kulea watoto, maisha yana vingi vya kufurahia…. kusema ukweli nimepanga kuoa mwakani.

Niombee ndugu yangu..!
 
Japo njia hii pia ni kuhamishia maumivu kwa mwingine kutoboka mfuko
Mkumbushe sababu ya siku ya kwanza kukutana na sababu iliyofanya Aishi kwako.

Mimi ningekuwa wewe,ningetafuta chumba kizuri nikampangia,nikamwekea kitanda na godoro..then siku ya siku mnatoka sehemu iliyotulia mnazungumza na kumkumbusha Kwanini alikuja kukaa kwako.

Inawezekana kwa mwanamke ikawa ni ngumu kukuelewa lakini ni bora umuumize kumwambia ukweli akae akijua.
Baada ya kumkumbusha ukweli unamwambia nimeshakutafutia chumba na umelipa kwa miezi kadhaa na kitanda kipo ndani kwaajili ya kuanza maisha.wewe akuache kwenye nyumba yako kama alivyokukuta.

Atalia ,ataumia,atakulaumu,atakuona mbaya sana tena mkatili..kwakuwa hisia za kimapenzi kwake zimeshika hatamu lakini siku akija kurudi kwenye mhimili wa akili,atakushukuru sana na kukuombea(inawezekana asikwambie kuwa anakushukuru nakumuomba Mungu kwa ajili yako)lakini ukweli atakuwa na shukrani.

Maisha Haya hayatabitiki hakuna sababu ya kuachana vibaya wakati unaweza kutumia njia ya kiustaarabu na kiuungwana kuachana na mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom