Ushauri, natokaje hapa?

Ushauri, natokaje hapa?

fanya maamuz ya kiume mkuu#achana nayo hyo, fanya maamuz ya kiume aise ,umwachie chumba # mm mwenyew ni shuhuda wa hilo ,nikafanya maamuz ya kuhama asaiv niko zang na maisha yanaendlea, ni njia nzur sana utakuja kuleta ushuhuda humu# msaada zaid chk whasap 0746486376
 
He he he...brother! Inaonekana tayar ushadata kwake na huna sauti tena. Nguvu ya papuchi! The best way n kumuachia room kaanze life upya badili contacts,anza afresh.
 
maamuzi magumu ni haya ..siku akienda kazini fanya akufumanie,ingiza mwanamke mwingine wa mtaani ambaye mtaelewana kwa kunyanduana mlipe pesa ili ukapige mbususu kwako,yeye akikufumania ,atalia na kuondoka na mizigo yake, na wew utaendelea na maisha yako
 
Kama huna mpango wa Ku o a ila mwanamke anajielewa ni vizuri uendelee kuishi nae mpaka utakapokua tayari Ku o a.
Kama haupo tayari kumu o a huyo mwanamke tumia busara kuachana nae.
 
Umemkula weeeee,sasa unaona chenza limekuwa chungwa..mwachie chumba na kila kitu wewe si kidume na hutaki shari na huyo mtu,nenda kaanze moja mwache yeye aendeleze gurudumu lake...

Kumwachia nyumba hapana, nimejichanga miaka mingi mno kufika hapa.

So far nimefikiria kuchukua ushauri post #6 kutoka kwa Chakorii. Nimpangishie chumba miezi 6 nimwekee kitanda, angalau hii njia ni njema.

Kama itanilazimu kuongopa kidogo ili tu akubali kuhama, nitamwambia mshua anakuja au ndugu ambaye haitokuwa busara amkute hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom