Ingia you tube andika suprising europe utapata majibu yote nna uhakika
Madhara ya kuja ulaya kwa tamaa vijana
Hujawahi kujiuliza kwanin ukimwambia mtanzania aliyeko ulaya kua nakuja kukutembelea anajificha?
Kwanini Germany mkuu, na sio uk, USA, Canada n. K. halafu Germany si kuna kibarua cha kujifunza lugha kwanza maana kiingereza hakitumiki...haya diaspora mtarajiwa nenda germany hutojutia........
Nimebase sana katika Masuala ya Networking na maintenance.Elimu kubwa ni kipaji cha mtu kusoma huko ni kuendeleza tu hicho kipaji ndio mana utaona watu wasio hata na cheti na wanafanakiwa sana.
Cheti au Astashahada mtu akipata hii ni kubwa na kama amepata elimu bora ni mtaji tosha sio haba kama unavyofikiri.
Wengi huona astashahada au stashahada ni elimu ndogo sababu mhitimu anakuwa amepata bora elimu na utata huanza hapo. Nina kaka yangu alisomea astashahada lakini ilikuwa ni elimu bora na sasa yupo abroad na ni fundi wa kutegemewa ana kipato kizuri.
Ukidharau hii nitakuonesha aliye na shahada za bora kusoma sample ya zile zitolewazo Tanzania na anasota naye utamwambiaje?
Mtoa mada nikuulize kwenye Information Technology umebase katika nini? Hata ukipata kazi unaeza fanya kwa ubora?
Dah hayo maneno broJichunguze kwanza ujue udhaifu wako!
Kama shida ni wewe na si system, hata huende mbinguni hutofanikiwa!
Taaluma yako bado ipo chini, Diploma ya IT hata kwa Tanzania bado haitoshi.
Kikubwa hapo utaishia kuwa mzamiaji tu nchi yeyote utakayoenda hata ikiwa Kenya!
Ushauri, kabla ya kufikiri ulaya, uliza opportunities kwa mtu wa IT hapa nchini!
itakuwa rahisi kwako na hutopoteza muda kama haya maandalizi yako ya kwenda Ulaya.
Msaada wakuu,
Bongo kwangu tafrani,
Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.
Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.
Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.
Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.
Kwi kwi makubwaa...Dah hayo maneno bro
Acjisumbue saaana kufikiria ulaya
Asome zaidi ili aende hizo nchi za ulaya kama expart lakini azamie 2 na shahada ya diploma mwisho atasafisha barabara ulaya
Dah hayo maneno bro
Acjisumbue saaana kufikiria ulaya
Asome zaidi ili aende hizo nchi za ulaya kama expart lakini azamie 2 na shahada ya diploma mwisho atasafisha barabara ulaya
passport ninayo,nishasafiri nje ya nchi kidogo.
Nimebase sana katika Masuala ya Networking na maintenance.
Nashukuru sana mkuu,Kijana, mimi nakushauri kwamba suala ya kwenda Ulaya na Diploma ya IT usahau.
Ungekuwa una degree ya IT (tena baadhi ya maeneo kama software engineering au software development) basi ungepata scholarship kupitia wafadhili kama wale wa jumuiya ya madola, na ukaenda kusoma masters na ambayo labda ingekusaidia kuona maisha ya huko.
Pili, suala la kwenda Ulaya kwa minajili ya kuzamia nalo kwa sasa ni gumu sana na hata ukitaka kwenda kupitia njia ya Mediterranean, pia unaweza kuishia Libya.
Halafu, kila kitu siku hizi ni bahati ya mtu pia inasaidia, kama una bahati unaweza kupata tu namna na ukajikuta unakwenda Afrika Kusini, Botswana au Ulaya, lakini si sasa hivi wala miaka hii.
Ulaya ya leo si Ulaya ya miaka 20 ilopita, na mimi nakwambia hivyo kutokana na uzoefu wangu wa kutembelea na kuishi nchi kadhaa ulimwenguni zikiwemo zile za barani Ulaya (mimi niliwahi kuwa Boy Scout)
Kila njia siku hizi imesilibwa na sheria na taratibu za uhamiaji hivyo kufanya situation kuwa tata sana.
Tatizo la vijana wengi ukiwapa ushauri kama huu watakwambia unawawekea kauzibe, ila ushauri nao lazima uwe updated kulingana na mazingira na matukio.
Nchi nyingi kama Afrika Kusini sasa nao wana matatizo na wahamiaji wa kutoka Zimbabwe na kwingine, pia nchi za Ulaya bila shaka umeona na kusikia yanayotkea sasa hivi.
Nchi pekee ambayo kidogo ipo wazi ni Canada lakini ni lazima uwe na angalau degree ya kwanza kama hiyo ya IT na uwe umebobea maeneo fulani ambayo yanakufanya uwe juu ya watafutaji wengine.
Canada khasa jimbo la Quebec, wanahitaji wataalam wa ujenzi kwenye ujenzi wa majengo, wataalam wa IT na afya- nenda kwenye link hii na uisome kwa makini na uelewe kuhusu kuhamia Canada - Immigrate to Canada na hapa kuhusu Quebec Determine your eligibility: Quebec-selected skilled workers na kuomba kuingia Quebec yenyewe hapa: Immigration-Québec - Home Page
Ila jitahidi hapohapo ulipo ongeza degree, pigana na maisha na utafanikiwa tu ipo siku milango itafunguliwa, lakini fanya hivyo kabla hutafika miaka 30 - hivyo una miaka 8 tu kuanzia sasa.
😉
form 4 2011,diploma 2014.miaka 22 maana yake umezaliwa 1994,,form4 umehitimu2012,,diploma ya it umehitimu 2015.
Nashindwa kuelewa umeangaika lini tena kwa sana(kama ulivyosema) kutafuta maisha.
Ni bora useme unataka kwenda ulaya kutafuta maisha,,,lakini si kwa kigezo ya kwamba umeshahangaika sana uku Tanzania kutafuta maisha(umri wako unapingana na hilo)
Jilipue kwa mtalii wa kitasha..., ukifumba macho na kufungua utajikuta ktk mojawapo ya nchi zilizotajwa hapo juu!nashukuru mkuu,ingekua vizuri pia kama ungenipa njia ya kufikia huko.