Ushauri: Nataka nikaishi Ulaya

Ushauri: Nataka nikaishi Ulaya

Msaada wakuu,

Bongo kwangu tafrani,

Nimetumia kila njia kufanikiwa na kujituma sana katika maisha ya hapa Tanzania na sijafanikiwa.

Kama kusoma nina Diploma IT,
Kama biashara nishafanya bila mafanikio.

Nimeona nitafute nchi nyingine nihamie,
Niko tayari kufanya kazi yoyote huko.

Ushauri wenu wakuu niende nchi gani Ulaya ambapo ndoto zangu nitazifanikisha.

Kaka nakushauri soma upate degree yako umri unao halafu apply kama expert hizo nchi za wazungu
 
Kaka ninavyofahamu Ulaya si lelemama kama huku na kwa uhakika wa maisha at least uwe na Bachelor unless unaenda kusubiri Zari la mentari labda kabla sijaendelea kukushauri unisaidie kufafanua "Mafanikio unayoyataka wewe ni yapi"?halafu ndio ushauri makini ufuate.
 
Mafanikio kwangu mie niweze kujikomboa katika hali ninayoishi nayo sasa,maana sijaridhika nayo.I want to have a better and advance life.
 
Jilipue kwa mtalii wa kitasha..., ukifumba macho na kufungua utajikuta ktk mojawapo ya nchi zilizotajwa hapo juu!
Wazo zuri, ila Mtasha mwenyewe asiwe Kishuka, Ndugu yetu atachanganyikiwa mara mbili
 
Le mutuz pliz gv ur 30 years experience advice , back to bongo with dolla buku u know . Humbled
 
Wazungu watalii ni bahati upate atakaekuelewa nia yako lakini wengi si wakweli na wanaweza kukufanyia ushenzi na ukaja jutia.

Jambo la msingi kufahamu ni kwamba si wazungu wote wanaokuja Afrika kama watalii wana nia njema kwako, kwani wao wamekuja kula good time yao na ni wataalam mbalimbali lakini pia wamo wahuni, mashoga, wasagaji na wale wenye tabia za ajabuajabu.

Kwanza, huyo mzungu awe amekupenda kweli kama ni mwanamme au mwanamke.

Pili, awe na uwezo wa kukuhifadhi katika kipindi chote utakapokuwa "prospective fiancée", yaani malazi. chakula na "pocket money" kama mlikwishaanza uhusiano wa kimapenzi.

Usije ukaweka urafiki na mzungu ambae ama ni mume wa mtu au mke wa mtu au ambae tayari ana uhusiano na mtu mwingine.

Kuna mambo mengi ambayo nikimwaga hapa kuna watu watakwazika lakini ni vizuri niwe natoa mwanga kwa sababu sipendi kuona vijana wakiwa na majonzi pale wanapokuja kuachwa solemba.

Njia nzuri kabisa na nyeupe ya kwenda ng'ambo ni kuhakikisha umesoma kiwango cha shahada na kuwa mtaalam kama mtoa mada unayosema umejikita kwenye networking na maintenance, umefanya kazi kidogo ili uwe na portfolio ya kazi yako na unazungumza kingereza kizuri cha kueleweka ( wahindi wengi hawazungumzi kiingereza fasaha lakini wanatumia computer kupiga kazi)
 
embu jaribu kufikiria kitu kingine tena,achana na ndoto za ajabu au mtafute yule baba wa humu alienda ng'ambo na kurudi
 
hii ndo njia unayoweza kuwa raia wa uk au canada ndani ya mwaka mmoja
tafuta passport ya bongo i hope unayo then nenda botswana
ukishafika botswana fanya mpango utafute passport ya botswana.........hii unaweza tumia shortcut mkodi mwanamke funga naye ndoa then tumia vyeti vya ndoa kupata uraia wa botswana
ukishapata uraia wa botswana tenganisha ndoa we ubaki na uraia.......
then tumia passport ya botswana kwendea ulaya kuna nchi kama uk na canada ukiwa na passport ya botswana unaruhusiwa kukaa miezi sita bila visa
then ukishafika uk or canada find a girl wa kumuoa kwa makubaliano then tumia vyeti vya ndoa kuprocess uraia
ukishapata uraia tenganisha ndoa baki na uraia wako demu mkatie chake asepe
anza michongo yako ukiwa na full documents
ukiwa na documets zako
utaweza process kazi,sholarships and other good stuffs....
kwa diploma ya IT kupata kazi kirahisi fanya mpango wa certifications CISCO certification is better for networking jobs.Then gonga jiwe lako la IT au software eng.umemaliza kazi

>>>>>>>>>>anything can be hacked no matter what>>>>>>>
 
Dah mkuu kama movie vile...
 
Ninoma aisee inaelekea hii njia umeitumia sio kwampangilio huu
 
Ndugu nenda ila kisaikolojia jipange kuw Kuna kufanikiw na kutofanikiwa huko ulaya maskini wapo pia matajir wapo kikubwa usijifunze kwa walioshindwa hutofanikiwa jarbu bahat yako usije ukayachukua maamuzi yko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom