linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,732 Reaction score 4,393 Sep 28, 2023 #81 Antonnia said: BTW Karibu tena jf Excel kitambo sana ulipotea humu! Enjoy your kitimoto!! Click to expand... Alikuwa anafanya mafundisho ya ubatizo
Antonnia said: BTW Karibu tena jf Excel kitambo sana ulipotea humu! Enjoy your kitimoto!! Click to expand... Alikuwa anafanya mafundisho ya ubatizo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Sep 28, 2023 #82 linguistics said: Alikuwa anafanya mafundisho ya ubatizo Click to expand... Hahahaha... Tunafurahi kumuona tena asee!
linguistics said: Alikuwa anafanya mafundisho ya ubatizo Click to expand... Hahahaha... Tunafurahi kumuona tena asee!
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,981 Sep 28, 2023 #83 kula na ugali
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,645 Reaction score 5,530 Sep 28, 2023 #84 REJESHO HURU said: Boss umechelewa sana sijui kama utaweza kuelezea radha ya kiti moto maana nguruwe wa sasa nao kama wadada wa mjini hawana radha kabisa sijui wanalishwa nini Click to expand... Huitaji umekua mkubwa so sokoni unaweza kuta nyama ya nguruwe ambaye alikua bado kuliwa
REJESHO HURU said: Boss umechelewa sana sijui kama utaweza kuelezea radha ya kiti moto maana nguruwe wa sasa nao kama wadada wa mjini hawana radha kabisa sijui wanalishwa nini Click to expand... Huitaji umekua mkubwa so sokoni unaweza kuta nyama ya nguruwe ambaye alikua bado kuliwa
Dadamtu JF-Expert Member Joined Sep 10, 2023 Posts 503 Reaction score 1,101 Sep 28, 2023 #85 Nakupea ofa kilo mbili,Moja kula on spot,Moja be a kale nyumbani...Karibu chamani
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,981 Sep 28, 2023 #86 Manjagata said: Mkuu hebu jaribu roast iliyochanganywa na ka mchicha kwa mbali! Haki ya nani utatoa machozi kwamba ulichelewa wapi? Click to expand... Na ugali wa dona mkubwa sana, aloo Ni balaa
Manjagata said: Mkuu hebu jaribu roast iliyochanganywa na ka mchicha kwa mbali! Haki ya nani utatoa machozi kwamba ulichelewa wapi? Click to expand... Na ugali wa dona mkubwa sana, aloo Ni balaa
Kichogo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 2,282 Reaction score 3,587 Sep 28, 2023 #87 Lovebird said: supu ya kongoro lake ni dawa ya kuzuia kukojoa kwa bed Click to expand... Weeee sema yesuuu
Lovebird said: supu ya kongoro lake ni dawa ya kuzuia kukojoa kwa bed Click to expand... Weeee sema yesuuu
Kichogo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 2,282 Reaction score 3,587 Sep 28, 2023 #88 kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Sasa huoni kua nguruwe namapepo hazikai pamoja! Mapepo yapo baharini nahuko kwakwingine kamwe nguruwe napepo ni ngumu kuchanganyika
kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Sasa huoni kua nguruwe namapepo hazikai pamoja! Mapepo yapo baharini nahuko kwakwingine kamwe nguruwe napepo ni ngumu kuchanganyika
T Thingis JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,889 Reaction score 5,985 Sep 28, 2023 #89 TheChoji said: Kwahiyo hawa wa sasaivi hawana shida maana wale walioingiwa na mapepo wote walikufa, kizazi chao hakikuendelea! Click to expand... Aiseee🤦😂🤣🤣🤣
TheChoji said: Kwahiyo hawa wa sasaivi hawana shida maana wale walioingiwa na mapepo wote walikufa, kizazi chao hakikuendelea! Click to expand... Aiseee🤦😂🤣🤣🤣
Kichogo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 2,282 Reaction score 3,587 Sep 28, 2023 #90 Kiwanja kingine kipo pale karibu na riverside ubungo... Citypork inaitwa jirani na micasa
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,081 Reaction score 137,313 Sep 28, 2023 #91 Saint Anno II said: Ukiwatoa wale wasiokula nyama ya Nguruwe kwa sababu za kiafya eg allergic etc the rest ni wanafiki tu. Wanazini,wanaiba,wanasengenya wengine ni wachoyo hao hizo kwao siyo dhambi lakini kula Nguruwe kwao ndiyo dhambi,wana wazimu hao! Click to expand... Ukila wewe inatosha,
Saint Anno II said: Ukiwatoa wale wasiokula nyama ya Nguruwe kwa sababu za kiafya eg allergic etc the rest ni wanafiki tu. Wanazini,wanaiba,wanasengenya wengine ni wachoyo hao hizo kwao siyo dhambi lakini kula Nguruwe kwao ndiyo dhambi,wana wazimu hao! Click to expand... Ukila wewe inatosha,
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Sep 28, 2023 Thread starter #92 Dadamtu said: Nakupea ofa kilo mbili,Moja kula on spot,Moja be a kale nyumbani...Karibu chamani Click to expand... Nikukute wapi my sister
Dadamtu said: Nakupea ofa kilo mbili,Moja kula on spot,Moja be a kale nyumbani...Karibu chamani Click to expand... Nikukute wapi my sister
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,703 Reaction score 41,866 Oct 21, 2023 #93 Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Tupe mrejesho.
Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Tupe mrejesho.
Memtata JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 625 Reaction score 1,919 Oct 21, 2023 #94 Anza na mkia, kisha kongolo la kitimoto 😀
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Oct 21, 2023 #95 Amechelewa sana huyu mtu
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 7,004 Reaction score 10,406 Oct 21, 2023 #96 Atafute ile ilyookwa motoni