Uamuzi mzuri sana, hata madaktari walioingia madarasani huwa wanasisitiza kula nyama nyeupe.
Nakumbuka kule ubungo kwa mwenyekiti ngambo ya tanesco walikuwa wanauza hadi supu yake, yaani ile ukipiga utafikiri unatwanga supu ya kuku wa kienyeji hangover zote zinakata.