niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,657 Reaction score 5,410 Sep 26, 2023 #21 Umejichelewesha Sana mkuu.
NAHAL JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,670 Reaction score 3,288 Sep 26, 2023 #22 Kwa utamu ikitoka mbususu ni Kitimoto,,,Hii ni Kwa upande wa maoni ya kwangu Mimi wa Vitu vitamu!!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Sep 26, 2023 #23 BTW Karibu tena jf Excel kitambo sana ulipotea humu! Enjoy your kitimoto!!
Dividend JF-Expert Member Joined Jan 15, 2017 Posts 2,132 Reaction score 3,398 Sep 26, 2023 #24 Karibu sana
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Sep 26, 2023 #25 Just Distinctions said: Achana nae, huyo mdudu ni kama kula Unga (Poda) ni ngumu sana kumuacha sababu ana addiction, kibaya dini yangu hairuhusu hivyo sikushauri umle Kwanini usijaribu Kuku choma au mbuzi roast?😊 Click to expand... Nimeshindwa kuipenda na kuielewa nyama ya mbuzi 🙃
Just Distinctions said: Achana nae, huyo mdudu ni kama kula Unga (Poda) ni ngumu sana kumuacha sababu ana addiction, kibaya dini yangu hairuhusu hivyo sikushauri umle Kwanini usijaribu Kuku choma au mbuzi roast?😊 Click to expand... Nimeshindwa kuipenda na kuielewa nyama ya mbuzi 🙃
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Sep 26, 2023 #26 Dear pork Big fat My wetu Njoo uchukue maua yako huku 😂😂😂
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,970 Sep 26, 2023 #27 Depal said: Nimeshindwa kuipenda na kuielewa nyama ya mbuzi 🙃 Click to expand... Jaribu choma hasa ubavu flani hivi au pajani kwa chini, utanishukuru baadae
Depal said: Nimeshindwa kuipenda na kuielewa nyama ya mbuzi 🙃 Click to expand... Jaribu choma hasa ubavu flani hivi au pajani kwa chini, utanishukuru baadae
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,652 Reaction score 6,701 Sep 26, 2023 #28 mshamba_hachekwi said: mnywe supu hutojutia Click to expand... Supu ya kitimoto sio tamu. Hata uiweke limao 20 na pilipili, hainogi!
mshamba_hachekwi said: mnywe supu hutojutia Click to expand... Supu ya kitimoto sio tamu. Hata uiweke limao 20 na pilipili, hainogi!
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,128 Sep 26, 2023 #29 kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Mbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha Noah
kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Mbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha Noah
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,652 Reaction score 6,701 Sep 26, 2023 #30 Naby Keita said: Mbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha Noah Click to expand... Thread closed 🤗🤗🤗
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,777 Sep 26, 2023 #31 kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Unajua ukienda kwa mganga kutoa mapepo anaomba kuku,mbuzi au ng'ombe. Dini ujinga wa akili
kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Unajua ukienda kwa mganga kutoa mapepo anaomba kuku,mbuzi au ng'ombe. Dini ujinga wa akili
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Sep 26, 2023 #32 Umekuja kula nyama ya kitimoto ukiwa umeshazeeka!! Pmbvu sana.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,702 Reaction score 41,865 Sep 26, 2023 #33 kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kitimoto walio ingiwa na mapepo waliona bora kufa kuliko kuishi na mapepo.
kibobori mahoro said: Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo? Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kitimoto walio ingiwa na mapepo waliona bora kufa kuliko kuishi na mapepo.
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,488 Sep 26, 2023 #34 Babu Fyee said: Kwa utamu ikitoka mbususu ni Kitimoto,,,Hii ni Kwa upande wa maoni ya kwangu Mimi wa Vitu vitamu!! Click to expand... Mie kitimoto namba moja mbususu inasubiri
Babu Fyee said: Kwa utamu ikitoka mbususu ni Kitimoto,,,Hii ni Kwa upande wa maoni ya kwangu Mimi wa Vitu vitamu!! Click to expand... Mie kitimoto namba moja mbususu inasubiri
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,107 Reaction score 18,574 Sep 26, 2023 #35 Ur welcome
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,541 Reaction score 18,649 Sep 26, 2023 #36 Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Mkuu hebu jaribu roast iliyochanganywa na ka mchicha kwa mbali! Haki ya nani utatoa machozi kwamba ulichelewa wapi?
Excel said: Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha Click to expand... Mkuu hebu jaribu roast iliyochanganywa na ka mchicha kwa mbali! Haki ya nani utatoa machozi kwamba ulichelewa wapi?
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,408 Reaction score 6,233 Sep 26, 2023 #37 Naby Keita said: Mbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha Noah Click to expand... Hii nadhani ni komenti Bora zaidi kuwahi kuishuhudia ihusuyo ugomvi wa huyo mnyama mtamu
Naby Keita said: Mbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha Noah Click to expand... Hii nadhani ni komenti Bora zaidi kuwahi kuishuhudia ihusuyo ugomvi wa huyo mnyama mtamu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Sep 26, 2023 #38 Mnaongelea mdudu 🐖
The Cock JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 245 Reaction score 394 Sep 26, 2023 #39 Unaonekana mlaji wa siku nyingi mkuu kwa jinsi ulivyojielekeza kwny swali lako!
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,777 Sep 26, 2023 #40 jiwe angavu said: Kitimoto walio ingiwa na mapepo waliona bora kufa kuliko kuishi na mapepo. Click to expand... Kwa mganga unatumia nini kutoa mapepo
jiwe angavu said: Kitimoto walio ingiwa na mapepo waliona bora kufa kuliko kuishi na mapepo. Click to expand... Kwa mganga unatumia nini kutoa mapepo