N ngomaxtz Member Joined Jun 6, 2025 Posts 43 Reaction score 62 Jul 20, 2025 #41 likoko ligubike said: Kama unaweza kilimo uje wilaya za Kilindi au Handeni, baada ya miaka 3 nauhakika utakua kutoa ushuhuda juu ya mafanikio hapa Click to expand... Mazao gani yanalimwa?
likoko ligubike said: Kama unaweza kilimo uje wilaya za Kilindi au Handeni, baada ya miaka 3 nauhakika utakua kutoa ushuhuda juu ya mafanikio hapa Click to expand... Mazao gani yanalimwa?
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 3,038 Reaction score 3,967 Jul 20, 2025 #42 Tanga kibiashara in ushe ushe nyingi sana ch kufanya njoo Tanga ila uwe mfanyabiashara wa mazao ya chakula kupeleka mikoani Tanga mwaka mzima inatoa mazao yanayoliwa dar.
Tanga kibiashara in ushe ushe nyingi sana ch kufanya njoo Tanga ila uwe mfanyabiashara wa mazao ya chakula kupeleka mikoani Tanga mwaka mzima inatoa mazao yanayoliwa dar.
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 3,038 Reaction score 3,967 Jul 20, 2025 #43 muhoozi said: ndg yangu nipo tanga mwaka wa kumi huu kikazi napambana sana kuhama .hakuna fursa huku usijaribu kuja tanga Click to expand... Mkuu haupo serious wewe Tanga unaijua au unaisikia wewe?
muhoozi said: ndg yangu nipo tanga mwaka wa kumi huu kikazi napambana sana kuhama .hakuna fursa huku usijaribu kuja tanga Click to expand... Mkuu haupo serious wewe Tanga unaijua au unaisikia wewe?
M Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 6,136 Reaction score 13,355 Jul 20, 2025 #44 Full charge said: Sijakupata kidogo mkuu?🤷♂️ Click to expand... Nenda Morogoro au Katavi. Kuna kazi nyingi za kilimo.
Full charge said: Sijakupata kidogo mkuu?🤷♂️ Click to expand... Nenda Morogoro au Katavi. Kuna kazi nyingi za kilimo.
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,543 Reaction score 7,386 Jul 20, 2025 #45 ngomaxtz said: Mkuu kilimo gani lushoto kinafaa Kwa mazao ya chakula ukiondoa mazao ya biashara kama katani. je? mashamba yanapatikana Kwa bei gani? Click to expand... Mbogamboga zote unazozijua zinatoka Lushoto... Nyanya, karoti, hoho, mchicha, tangawizi, kabichi, viazi vya chipsi, maharagwe nk
ngomaxtz said: Mkuu kilimo gani lushoto kinafaa Kwa mazao ya chakula ukiondoa mazao ya biashara kama katani. je? mashamba yanapatikana Kwa bei gani? Click to expand... Mbogamboga zote unazozijua zinatoka Lushoto... Nyanya, karoti, hoho, mchicha, tangawizi, kabichi, viazi vya chipsi, maharagwe nk