Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Nimetokea kuupenda mkoa huo japo sijawahi kufika,kuhusu kazi naweza fanya yoyote japo nina mtaji ila si mkubwa ingawa unaweza kwa biashara isiyo kubwa sana1. Kwanini Tanga?
2. Unatarajia ukafanye biashara/kazi gani?
Bado hujajibu swaliNimetokea kuupenda mkoa huo japo sijawahi kufika,kuhusu kazi naweza fanya yoyote japo nina mtaji ila si mkubwa ingawa unaweza kwa biashara isiyo kubwa sana
Ni mkoa imani yangu inanituma huenda nikatoboa japo sababu kuu nmeitaja kwenye uziBado hujajibu swali
Naona vijana wengi wa Tanga hukimbilia Dar je hii siwezi kuitumia kama fursa?Tanga kuna mzunguko mdogo sana wa pesa, kwa mtu anaetafuta maisha sio sehemu nzuri ya kuanzisha makazi.. labda km una mambo yako mengine.
Tanga hakuna fursa za general works.Nimetokea kuupenda mkoa huo japo sijawahi kufika,kuhusu kazi naweza fanya yoyote japo nina mtaji ila si mkubwa ingawa unaweza kwa biashara isiyo kubwa sana
Nimefanya sana biashara hapo tangu 2005 mkuu ila bado sijabahatika kutoboa mkuuAcha tanga Nenda hapo kwenye Manicpal ya Kahama ufanye biashara tu utatoboa Mkuu
Raha za kumba...nna tu hakuna jipyaTanga raha.
Sijakupata kidogo mkuu?🤷♂️Raha za kumba...nna tu hakuna jipya
UJana mwisho miaka 35, nyie watu wazima hovyo hamtaki shikamoo.Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine.
Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na kujihusisha kwa muda wa miaka mwingi.
Nina familia ya mke na watoto 3,sasa nimekaa nikafikiri nakuona nihamie moja ya mkoa ambao ni Tanga ila natamani kupata mengi zaidi kwa wenyeji au wanaojua hali,tamaduni na maisha ya huko kwa ujumla nijue pakuanzia.
Kwanini nimeichagua Tanga,ndugu zangu wengi walikimbilia Dare-ssalam japo na wao maisha yamewakaba yani hadi kuna muda naona bora hata mimi maana kuna muda inabidi mimi ndiyo niwapige tafu mambo yakiwagomea.
Naombeni msaada wa mawazo pia wenyeji mnisaidie kutambua fursa na uhalisia wa mkoa huo,binafsi ni mchapakazi na sichagui kazi labda iwe ya kushusha utu wa mtu tu🙏
Tanga ipi.Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine.

Usidanganywe kuwa Tanga ni raha, raha zenyewe ni uzinzi, nje ya hapo hakuna kitu.Sijakupata kidogo mkuu?🤷♂️
Ukiona hivyo ujue hakufai. Ni miongoni mwa mikoa inayokua taratibu sana kimaendeleo.Naona vijana wengi wa Tanga hukimbilia Dar je hii siwezi kuitumia kama fursa?
Kama ni mgeni kabisa anatoboaTanga kuna mzunguko mdogo sana wa pesa, kwa mtu anaetafuta maisha sio sehemu nzuri ya kuanzisha makazi.. labda km una mambo yako mengine.