[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Minyege bhana
Fanya mazoez ya muchosha .wiliPombe nilikunywa sana ila nikagundua nafuja pesa na kudandia magari mengi
Anayejua anatumia maji tu na vinginevyo kama huyo mdada anachokisemaNauliza yule mwenye anajua mambo mengi kuliko mimi
Mtafute jamaa mmoja ni mwanasaikolojia anaitwa Chris Mauki...nenda insta andika @chrismauki wasiliana nae ili akufanyie counselling...Anaweza akukufanyia referral kwa madaktari kwa ajili ya medical prescriptions.Mina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia
kunywa maji mda woteee...Mina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia
Karibu sanaAsante sana nitajitahidi Mkuu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mkuu huoni ndio unamsha hasira za jamaa?
Jifunze kupuuzaMina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia