madhabaunyeusinyeusi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 200
- 98
Kunywa pombe ukilewa utalala na ukikasirika utakua huna nguvu ya kutenda lolote
ADHD andika hivyo Google utapewa majibu.Mina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia
Sasa wewe unamuuliza nani hapa kwa mfanoHapo ushauri wako uko wapi mkuu naona unatuambia kile unafanyaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namuuliza yule mwenyewe alieposti hii kituSasa wewe unamuuliza nani hapa kwa mfano
Hehee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namuuliza yule mwenyewe alieposti hii kitu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] wasalimie muhezaHehee
Umenishinda tabia
Mina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia
Unamaanisha nini hivi kuna kanuni ya kuepuka matatizo?
Pamoja[emoji120]Shukrani Mkuu
Nami nimejibu tu.No Madame!, nimeuliza tu
Wataitika mkuu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] wasalimie muheza
Na kweli una familia, sio kwa nini njiwa hizo.Nina familia sipo Single
na USIPOYAPATAMkuu dawa ya hasira ni maji tu, ukipatwa na hasira kunywa maji ya kutosha aki ya mungu unapoa kabisa unakuwa kama be*g* trust me..
Tatizo lako ni unapenda kufikili negative kwa kila kitu na kuona kile unachofikili wewe ni sahihi kuliko wengine nakuweka mtazamo hasi, sikushangai wewe binafsi nlishawahi ishi na uncle wangu alikuwa ni phd dkt ilifika kipindi mke hata ndugu zake walikuwa hawampendi kwa sababu hiyo ingawa alikuwa msaada kwa familiaMina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia