[emoji1] [emoji1] ila its true datAngalia usijeukajimada maana huu wakati wenyewe tu ni hasira tosha.
Asante sana nitajitahidi MkuuUnapoona umekasirika au unakaribia kukasirika kwanza kabisa unatakiwa ukae mbali na kitu kinachokusababishia hali hiyo kwa muda huo,
kisha Uvute pumzi ndefu kwa kutumia pua na kuzitoa kwa kutumia mdomo, fanya zoezi hilo kama mara tatu hadi nne,
Au njia mbadala unaweza kunywa maji kama glass moja hadi mbili.(au unaweza kutumia njia zote kwa pamoja)
-stunter-
Minyege bhanaMakitu yaani mapepo ????
Mkuu aswaa uko sahihi me nilifundwa ili jkt enziii hizoo pia hata mama hashawai kuniambia kabla kuwa maji ni dawa zaidi ya unavyofikiri aisee, me uwezi kunikuta Nina hasira muda wote natabasamu nayapenda sana maji yanaongeza uhalisia wa maisha yangu[emoji120]na USIPOYAPATA
kuna kipindi kimoja cha Dk 45 Dr Janabi bngwa Moyo kutoka Taasisi ya JK
alisema km unaendesha gari au unatembea akatokea mtu akakusababishia HASIRA
kuzitoa ni KUMFOKEA au KUMTUKANA kwa sana (akikurudishia na nguvy huna wafwa)
hapo HASIRA na PRESSURE ta moyo vitatoweka labda ndio ukatafute maji.
au umsamehe na kumuita mjinga
hapo utapata faraja.
Ziege kuna watu mfano wanawake wanagombana na wanaume wao tulizo lao km hawana nguvu ni mdomo tu, hapo ataporomosha matusi hasa na hata umpige vp
hasira zitamuisha
Mkuu huoni ndio unamsha hasira za jamaa?Angalia usijeukajimada maana huu wakati wenyewe tu ni hasira tosha.
Kunywa maji ya chooniMina hasira za Karibu sana ninakasirika Mara kwa Mara naombeni ushauri ni dawa gani inaweza kusaidia
ItakuwaNi mtizamo potofu