Ushauri: Nahitaji kununua iphone 11 plain, ni nzuri au niachie?

Mbona kama ina Masharti hivo😒! Acha niendelee kutumia haka katecno tu niko free nadowload hadi singeli
 
Point #2 sio kweli. Kwanini ushindwe kurusha au kupokea nyimbo?

Point #3: Ukishaanza kutafuta Iphone yenye line mbili, jua kabisa ushaingia chaka
 
Point #2 sio kweli. Kwanini ushindwe kurusha au kupokea nyimbo?

Point #3: Ukishaanza kutafuta Iphone yenye line mbili, jua kabisa ushaingia chaka
2,utashindwa sababu umezoea kuingiza kwa jamaa wa kuburn cd,ambabo wengi hawajishughulishi na Itune.

3,kuanzia iphone xs max zinakuja na zenye line mbili pia,kwahi iphine 11 yenye line mbili ipo,itapendeza kama akaisaka hiyo kuliko ya line moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…