Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 49,141
- 43,314
Oa sasa
Ha ha haaa...ngoja nicheke kwanza...yes kwa mujibu wa maandiko nabii tito
Si wanasemaga mwanamke akishazeeka hisia za ngono huwa zina potea
Watu wengine wanafanana kama wanaume ila akili zao za kike.....sijui nilimbukeni au homony za kike.......eti......shitWhat agwan? (Jamaican pidgin)
Hopeful mkoa poa huku mkiianza weekend kwa style tofauti tofauti..
Back to the point..
Baada ya mimi kuhamia dodoma nimekuwa nikiishi pekeangu kwenye nyumba kubwa kidogo so nashindwa ku maintain swala zima la usafi.. Maana huwa naondoka asubuhi sana 5:30am na kurudi night.. Nimefikiria sana swala la kutafuta mtu wa kunisaidia majukumu ya usafi ila nakuwa na maswali mengi kichwani..
Je nitafute house girl niishi nae hapa kwangu?
Kwa majibu ya haraka haraka nikaona nikiishi nae lazima tutazama kwenye dimbwi la mapenzi(sihitaji hii kitu).
Je atakuwa muaminifu kwenye vitu vyangu? maana atafanya usafi hadi chumbani kwangu..
Ushauri wenu wakuu maana sometimes weekend nzima huwa nashinda nafanya kazi za usafi tu na kufua juu..
Location:The rain bow bar mtaani kwa kina Zero IQ(dodoma )
Haaahaaaaaaahaaaaaa!!!.Why ujiwekee mindset kwamba lazima utamla?
Haya bana chagua alienona umkule vizuri. *****.
Afu nije siku nikatize mitaa hii hii ya MMU upo njia panda tena ushampa mimba na pengine ameshazaa kabisa afu unajidai kustuka umegundua humpendi.
Utafurahi.
Utamla tuu mkuu chakula ni chakulaNimewaza labda nitafute mama mtu mzima nahisi labda hatukuwa na hisia za kimapenzi nae
Mashkolo mageni huyu usiajili utajuta mvivu alafu anatumia sana K-vant kwa hiyo chini kukaaavuuuu 😝😝😝Niajiri mimi mbibi hatutafika huko, suala la uaminifu ni uhakika asilimia 99
Ushauri tafuta mama mtu mzima,mpangie siku za kuja kufanya usafi siku ambazo wewe unakuwepo nyumbani.What agwan? (Jamaican pidgin)
Hopeful mkoa poa huku mkiianza weekend kwa style tofauti tofauti back to the point.
Baada ya mimi kuhamia dodoma nimekuwa nikiishi pekeangu kwenye nyumba kubwa kidogo so nashindwa ku maintain swala zima la usafi.
Maana huwa naondoka asubuhi sana 5:30am na kurudi night. Nimefikiria sana swala la kutafuta mtu wa kunisaidia majukumu ya usafi ila nakuwa na maswali mengi kichwani.Je nitafute house girl niishi nae hapa kwangu?
Kwa majibu ya haraka haraka nikaona nikiishi nae lazima tutazama kwenye dimbwi la mapenzi sihitaji hii kitu .Je atakuwa muaminifu kwenye vitu vyangu? maana atafanya usafi hadi chumbani kwangu.
Ushauri wenu wakuu maana sometimes weekend nzima huwa nashinda nafanya kazi za usafi tu na kufua juu.
Location:The rain bow bar mtaani kwa kina Zero IQ(dodoma )
Si utazeekea hapoNaroga
Cheka tufurahi ndugu yangu.Haaahaaaaaaahaaaaaa!!!.
Dahhh mkuu umejua kunichekesha jioni hii.
Ahsante mkuu nashkuru sana kwa ushauri wako mzuriiUshauri tafuta mama mtu mzima,mpangie siku za kuja kufanya usafi siku ambazo wewe unakuwepo nyumbani.
Umesema nyumba kubwa kiasi basi hakikisha vyumba ambavyo huvitumii muda wote unafunga madirisha ili kupunguza vumbi lisiingie ndani.
Natumai kama ulivyosema upo peke yako kwa hata nyumba kuchafu siyo sana.
N:B mlipe ujira wake kila anapokuja kukufanyia usafi.ila chumba unacho lala jitahidi ufanye usafi mwenyewe.
😂😂 eti nakaomba kaje kanikamue chunusiWe tafuta housegirl mzuri ukae naye hapo kwako wanasaidiaga sana hao inapotokea mademu zako wanazingua unakunywa Kvant then unarudi zako nyumbani mapema unakaletea zawadi unakapa na sh elfu kumi kisha usiku unakaomba kaje chumbani kwako kukukamua chunusi...!!!
Mengine utajiongeza mwenyewe
Wanakuwaga watamu balaa