Ushauri:Nahitaji house girl ila nipo njia panda

What agwan? (Jamaican pidgin)

Hopeful mkoa poa huku mkiianza weekend kwa style tofauti tofauti back to the point.
Baada ya mimi kuhamia dodoma nimekuwa nikiishi pekeangu kwenye nyumba kubwa kidogo so nashindwa ku maintain swala zima la usafi.

Maana huwa naondoka asubuhi sana 5:30am na kurudi night. Nimefikiria sana swala la kutafuta mtu wa kunisaidia majukumu ya usafi ila nakuwa na maswali mengi kichwani.Je nitafute house girl niishi nae hapa kwangu?

Kwa majibu ya haraka haraka nikaona nikiishi nae lazima tutazama kwenye dimbwi la mapenzi sihitaji hii kitu .Je atakuwa muaminifu kwenye vitu vyangu? maana atafanya usafi hadi chumbani kwangu.

Ushauri wenu wakuu maana sometimes weekend nzima huwa nashinda nafanya kazi za usafi tu na kufua juu.

Location:The rain bow bar mtaani kwa kina Zero IQ(dodoma )
Simply, tafuta ndugu yako mkuu.
 
Tafuta mdada especially wale single mothers au mama mtu mzima anaejithamini, afu atakua anafanya usafi mara 4 kwa wiki au mara tatu au utakavyo ona ww, then unamwachia funguo siku za usafi tu, ukimuhitaji unampigia simu aje kufanya usafi ila usikae nae nyumbani kwako awe anakuja tu na kufanya usafi mda huo upo job kama kunavyakula unamwambia apike then aviweke mezani ukirudi unajipongeza tu.

Uaminifu=======> hapa sasa sina uhakika sana coz, uaminifu ni tabia ya mtu na hali ya maisha aliyonayo. Lkn kwa single mothers na mama mtu mzina kdgo inakua angalau coz wana sehemu (makazi ) maalumu za kuishi hivyo hawezi kuiba na kukimbia tofauti na yule mdada ambae hajazaa anaweza kukimbia na kutokomea kusiko jilikana. Hao wenyefamilia inakua ngumu kidgo kuiba kwa sababu wanajulikana mtaani hivyo kauaminifu kdgo kanakuwepo.

Wewe mwenyewe binafsi=======> keep busy sana usiweke mazoea ya kuzidi punguza story za kijinga kua serious (ila sio sanaa maana atakuogopa), usimtongoze wala kuumuliza kuhusu mahusiano ya nyuma ikiwezekana umwambie kua wife yupo ila yupo mbali , hiyo itapunguza kukutaka coz atajua kua hilo jimbo lina mmiliki ko yeye akiingia atakua mpita njia tu. Kumbuka hapo tunazungumzia vitu vdogo vidogo ila pesa jitahidi usihifadhi ndani maana zina vishawishi.
Mwisho=======> kua mwaminifu kwenye malipo maana hapo ndo kipimo cha uaminifu wake kwako, mlipe vzuri hata kuibia kamwe ila ukimzurumu atatafuta namna ya kujilipa and you will cry my friend.

Ni hayo tu mkuu, unaweza kuongeza mengine
Huo ushauri unatosha kabisa,mtoa mada kazi ni kwako,jaribu kufanya km alivyoshauri huyu mkuu
 
Si uvute hata mtoto wa anko au dada wa ukoo toka village kwenu aje akae hapo asomee ufundi cherehani huku anakusupport na wewe unamsupport?

Ulichosema ni kweli lakini kwa wengine ni hasara tupu na lawama nyumbani kwani hata mie wawili nilifanya hivyo wote wakaishia kuwa changudoa
 
Ulichosema ni kweli lakini kwa wengine ni hasara tupu na lawama nyumbani kwani hata mie wawili nilifanya hivyo wote wakaishia kuwa changudoa
Kuishi na ndugu ni hatari zaidi maana hawakawii kubadilika kitabia
 
Kwwnye uzi wako haukuzungumzia suala la changamoto, umesema was was wako usije ukamnaniliii huyo housegwirl. Ndo maana nikakushaur uchukue tuu ndug yako.
[/QUOTE
Safiiii mkuu nimekupata poa kabisa
 
Halafu mabeki tatu wanakua laini happy watamu balaa mimi nakulaga Hadi mifupa. Unajua Nini toooomba wewe acha woga
 
Why ujiwekee mindset kwamba lazima utamla?

Haya bana chagua alienona umkule vizuri. *****.

Afu nije siku nikatize mitaa hii hii ya MMU upo njia panda tena ushampa mimba na pengine ameshazaa kabisa afu unajidai kustuka umegundua humpendi.

Utafurahi.
Hapa ushauri wako ni nini mkuu?
Nisichukue house gal ama?
 
What agwan? (Jamaican pidgin)

Hopeful mkoa poa huku mkiianza weekend kwa style tofauti tofauti back to the point.
Baada ya mimi kuhamia dodoma nimekuwa nikiishi pekeangu kwenye nyumba kubwa kidogo so nashindwa ku maintain swala zima la usafi.

Maana huwa naondoka asubuhi sana 5:30am na kurudi night. Nimefikiria sana swala la kutafuta mtu wa kunisaidia majukumu ya usafi ila nakuwa na maswali mengi kichwani.Je nitafute house girl niishi nae hapa kwangu?

Kwa majibu ya haraka haraka nikaona nikiishi nae lazima tutazama kwenye dimbwi la mapenzi sihitaji hii kitu .Je atakuwa muaminifu kwenye vitu vyangu? maana atafanya usafi hadi chumbani kwangu.

Ushauri wenu wakuu maana sometimes weekend nzima huwa nashinda nafanya kazi za usafi tu na kufua juu.

Location:The rain bow bar mtaani kwa kina Zero IQ(dodoma )
Tafuta mwenye HIV
 
Halafu mabeki tatu wanakua laini happy watamu balaa mimi nakulaga Hadi mifupa. Unajua Nini toooomba wewe acha woga
Sio poa kwa mfano akipata mimba na mimi sina mpango nae au simpendi ni kosa sana
 
Nimewaza labda nitafute mama mtu mzima nahisi labda hatukuwa na hisia za kimapenzi nae
Hii ndio solution na ndiyo ninachofanya mimi...Bi mkubwa anakuja anapiga usafi sebleni jikoni..chumbani kwangu haingiii lakini.

Namtolea tu nguo sebleni akija anaenda fua zake bafuni huko basi...achana na vidada vya kazi kwanza havijui kazi ukimpata bi mkubwa anaejielewa Uta enjoy sana mkuu.
 
Safiii haya ndo maneno sasa👊👊
 
Hayo mambo ni common sana.. mi nataka mtu wa kazi ila naepuka vishawishi vinavoweza kuniingiza kwenye mapenzi na ma house gals kama ilivo kwa wanaume wengi
Either pata houseboy

Au oa mke ndipo uajiri housegirl awe anasimamiwa na mkeo
 
Back
Top Bottom