Ushauri naelekea kupotea hivi

Yaaani hujamlaa tu muda wote wa uhusiano wenu??? I can't believe this. !! Nyie vijana mbona mnatuangusha???
 
Bora amekukatalia, maana wewe ni mharibifu kama wengine tu. Unahangaika naye wa nini wakati wapo wengi type yako?
 
Excel kuna watu wana achana kistaarabu lakini ile ya kuachana mtu ana kuembarass sasa huyu utaendelea kuwasiliana nae nini? kukeep namba yake ya kazi gani? binafsi siwezi
 
achana nae hiyo pasua kichwa ikianza mapema hivi huwa haipungui

btw, huyo jamaa kwshapewa.... You were not appealing to her sexually, kama ungekua, ungeshamega
 
Mshika dini anaetukana!!!!

na mimi ndo nilikuwa najiuliza, au anaenda sana kanisani ndo mana anaona ameshika dini? manake hayo matendo ya huyo binti hayaendani kabisa na hiyo kauli yake ya kwamba "ameshika dini"
 
boya ka maboya wengne huyo piga chini kaka
 
Madem wengine wanamapungufu ya ndani,unaweza kuta huyo dem kisha temwa sana na wanaume baada tu yakuwavulia pichu,so huenda kishajigundua udhaifu wake ndomana anakubania ili nawe usimwage.Hapo anachootaka ni ndoa kwanza then ndo akupe ili hata ukikuta kuna mapungufufu itakua ni vigumu kumwacha.Imeshawahi kunitokea hiyo ila nilifanikiwa kumgegeda ndo nilipogundua nikwann alikuwa ananibania,Ila kwakuwa nilimpenda sikuweza kumwacha japo alikuwa anamapungufu na mpaka sasa bado nipo nae na ninampenda sana
 
kakutandika mitusi ya hatari sio? mvizie usiku mpe makonzi ya haja..
 
Mkikua mtaacha tuu ni utoto unawatesa nyie wote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…