magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,818
- 33,654
Inaonekana kuna kamanda ilimuahidi kumuoa ikaishia kumchezea tu.Siasa imeingiaje hapa!
Inaonekana kuna kamanda ilimuahidi kumuoa ikaishia kumchezea tu.Siasa imeingiaje hapa!
Sasa ukienda kwa baba yako mwanao naye aende wapi? umeshakuwa baba pambana na maisha yako. hapo hata kama unahaki kupitia urithi wa mama yako potezea... bado hatujafikia kumpa urithi mwanamke.Niende kwa baba wa kambo ananikataa
kudhulumiwa ni kufundishwa kutafuta chako?Huyo anakufundisha jinsi ya kutafuta Mali zako mkuu, kikubwa pambana uwezavyo ukiamini ipo siku
Mimi kama mimi yaliyonikuta ni mengi mkuu ndo maana nikashauri aachane nazo ila kama ni lazima afuate misingi ya sheria kupata haki yakemnaomshauri aachane na huo urithi.
HAYAJAWAKUTA.
ipo siku yatakuja kuwageukia nyie.
achana nao mkuu tafuta mali zako ikiwezekana hama kabsa uwe mbali nao
Tatizo wewe sheria hujui, Kuliendeleza eneo la mtu haikupi wewe uhalali wa kulimiliki Hilo eneo hata Kama ungejenga ghorofa!!! Upo hapo?mnaomshauri aachane na huo urithi.
HAYAJAWAKUTA.
ipo siku yatakuja kuwageukia nyie.
Ujombani siko dogo. Naye anafanya hayo akijua huna urithi huko.Mimi ni kijana wa miaka 28 nimeoa Nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja,
Bahati nzuri nimelewa na kusoma kwa Babu yangu na Bibi yangu upande wa kike maana ndio walezi wangu ;Kwa bahati mbaya Babu na Bibi yangu wamefariki Nikiwa nasoma form two;
Babu yangu alinifundisha kuwekeza baadhi ya rasilimali kwa kupanda miti kwenye baadhi ya maeneo ukiunganisha unapata kama ekari saba(7) .Mjomba ni mtoto pekee wa kiume kati ya watoto watano wa Babu yangu imefikia kipindi mjomba amefuta kabisa Mali na maeneo aliyonipa Babu,Moja ya eneo langu amesha vuna Miti yangu, Nashindwa kuelewa kwanini anifanyie hivyo,Yeye anadai kwa anataifisha Mali zangu kisa Ada aliyonilipia Nikiwa chuoni .
Naombeni ushauri amenipandikisha chuki kwa Dada zake imefikia kipindi Mimi na familia yangu tunanyoshewa vidole eti Mimi Nina kiburi na Sina pakuanzia .
Haki unadai kwa Baba yako siyo ujombani bhuaana.mnaomshauri aachane na huo urithi.
HAYAJAWAKUTA.
ipo siku yatakuja kuwageukia nyie.
Ahsante kwa ushauri wako mkuuWATU WALIOCHANGIA HAWAJAKUPA UKWELI NGOJA MIMI NIKUPE UKWELI.
NI hivi Tangu lini Mjukuu akarithi Mali ya Babu? Huo utaratibu umeanza lini?
Mama yako mzazi ndiye mwenye haki ya kurithi na Kama alishafariki KABLA hajarithishwa Mali Basi wewe sahau kurithishwa Mali kwa mgongo wa mama yako!!!
Na Kama unadai ulirithishwa Hilo Shamba na Babu yako lazima uwe na ushahidi wa maandishi au wa mdomo na Kama NI ushahidi wa mdomo lazima uwe na mashahidi zaidi ya wanna Kati yao wawepo Ndugu wa karibu na wengine wasio ndugu.
Je unao ushahidi wowote wa maandishi au wa mdomo kuwa Babu yako alikupa Hilo Shamba lotelote?Kana unao kafungue kesi mahakamani na Kama huna Hama haraka Sana kwenye Hilo eneo.
Unadai uliliendeleza Hilo eneo tangu ukiwa mdogo. NI SAWA uliliendeleza na ilikuwa NI jukumu lako kwa kuwa ulikuwa unatunzwa na Babu yako, Unakula,KULALA na kusomeshwa bure Sasa Kwanini na wewe usisaidie kazi za nyumbani? Ulitaka uwe Unakula bure,Kusomeshwa bure na KULALA bure na wewe usishiriki kazi za happy nyumbani kwa Babu yako?
Pia kuliendeleza eneo lisilo lako bado litabaki kuwa siyo lako hata Kama ungejenga ghorofa!!! Bado eneo Hilo litabaki kwa mwenye eneo tu!! Wewe ulipanda miti kwenye Shamba la Babu yako bado Hilo Shamba NI la Babu yako na akifa watarithi Watoto wa Babu yako we huna kitu hapo!! Vinginvyo uwe alikupa mbele ya mashahidi tofauti na happy eneo siyo lako ondoka haraka na kesi hiyo huwezi kushinda.
Cha msingi umwangukie mjomba wako akupe miti kidogo uvune na wewe ukaanze Maisha yako sehemu nyingine. Huo Ndiyo ukweli ninaokupa maana wachangiaji wengi WANAISHIA KUKUAMBIA time et ACHANA nao hawakwambii wewe huna haki pale, Kama huna ushahidi wa kurithishwa Hilo eneo WEWE HUNA HAKI, HUNA CHAKO PALE NA HIVYO HAMA HARAKA SANA
MTUMAI CHA NDUGU HUFA MASIKINI.
Wewe ni msukuma mzee ?!!Tafuta panga nenda kamjeruhi tu uyo mjomba
YaapWewe ni msukuma mzee ?!!
Ahsante kwa ushauri wako mkuu
ni bora umshauri hivyo.ILA SI KUMWAMBIA AACHE KABISA.Mimi kama mimi yaliyonikuta ni mengi mkuu ndo maana nikashauri aachane nazo ila kama ni lazima afuate misingi ya sheria kupata haki yake
mjukuu ana rithi.WATU WALIOCHANGIA HAWAJAKUPA UKWELI NGOJA MIMI NIKUPE UKWELI.
NI hivi Tangu lini Mjukuu akarithi Mali ya Babu? Huo utaratibu umeanza lini?
Mama yako mzazi ndiye mwenye haki ya kurithi na Kama alishafariki KABLA hajarithishwa Mali Basi wewe sahau kurithishwa Mali kwa mgongo wa mama yako!!!
Na Kama unadai ulirithishwa Hilo Shamba na Babu yako lazima uwe na ushahidi wa maandishi au wa mdomo na Kama NI ushahidi wa mdomo lazima uwe na mashahidi zaidi ya wanna Kati yao wawepo Ndugu wa karibu na wengine wasio ndugu.
Je unao ushahidi wowote wa maandishi au wa mdomo kuwa Babu yako alikupa Hilo Shamba lotelote?Kana unao kafungue kesi mahakamani na Kama huna Hama haraka Sana kwenye Hilo eneo.
Unadai uliliendeleza Hilo eneo tangu ukiwa mdogo. NI SAWA uliliendeleza na ilikuwa NI jukumu lako kwa kuwa ulikuwa unatunzwa na Babu yako, Unakula,KULALA na kusomeshwa bure Sasa Kwanini na wewe usisaidie kazi za nyumbani? Ulitaka uwe Unakula bure,Kusomeshwa bure na KULALA bure na wewe usishiriki kazi za happy nyumbani kwa Babu yako?
Pia kuliendeleza eneo lisilo lako bado litabaki kuwa siyo lako hata Kama ungejenga ghorofa!!! Bado eneo Hilo litabaki kwa mwenye eneo tu!! Wewe ulipanda miti kwenye Shamba la Babu yako bado Hilo Shamba NI la Babu yako na akifa watarithi Watoto wa Babu yako we huna kitu hapo!! Vinginvyo uwe alikupa mbele ya mashahidi tofauti na happy eneo siyo lako ondoka haraka na kesi hiyo huwezi kushinda.
Cha msingi umwangukie mjomba wako akupe miti kidogo uvune na wewe ukaanze Maisha yako sehemu nyingine. Huo Ndiyo ukweli ninaokupa maana wachangiaji wengi WANAISHIA KUKUAMBIA time et ACHANA nao hawakwambii wewe huna haki pale, Kama huna ushahidi wa kurithishwa Hilo eneo WEWE HUNA HAKI, HUNA CHAKO PALE NA HIVYO HAMA HARAKA SANA
MTUMAI CHA NDUGU HUFA MASIKINI.
Kudai haki NI SAWA Lakini use unahaki kweli, Tangu lini Urithi wa Babu akadaiwa na Mjukuu? Kama anaushahidi wa kurithishwa kwa maandishi hapo SAWA anaweza kudai Lakini Kama Hana anajisumbua Wala usimpe moyo kwa kitu kisichowezekanika!!!ni bora umshauri hivyo.ILA SI KUMWAMBIA AACHE KABISA.
duniani ukiishi kimalaika watakuonea sana kuna wakati unatakiwa uwe na roho mbaya.asaa kwa watu wadhulumaji.usikubali kuishi kinyonge.kuwaachia mali ndugu eti kisa ni za urithi huo ni unyonge.
pambana upate haki yako.hata mungu atakuwa upande wako.