Ushauri: Nadhulumiwa na mjomba bila sababu?

Ushauri: Nadhulumiwa na mjomba bila sababu?

ni bora umshauri hivyo.ILA SI KUMWAMBIA AACHE KABISA.
duniani ukiishi kimalaika watakuonea sana kuna wakati unatakiwa uwe na roho mbaya.asaa kwa watu wadhulumaji.usikubali kuishi kinyonge.kuwaachia mali ndugu eti kisa ni za urithi huo ni unyonge.
pambana upate haki yako.hata mungu atakuwa upande wako.
Kudai haki NI SAWA Lakini use unahaki kweli, Tangu lini Urithi wa Babu akadaiwa na Mjukuu? Kama anaushahidi wa kurithishwa kwa maandishi hapo SAWA anaweza kudai Lakini Kama Hana anajisumbua Wala usimpe moyo kwa kitu kisichowezekanika!!!

Acha kumpotosha mwenzako ajione anahaki kumbe Hana.Kuendeleza eneo lisilo lako hakukupi mamlaka ya kulifanya liwe lako hata ungejenga ghorofa kumi!!! Bado eneo litabaki kwa mwenye eneo tu.
 
mjukuu ana rithi.
ikiwa babu mwenyewe katoa wosia kuwa mjukuu wake arithi.
ila ndugu waliobakia ndio uanzisha chokochoko mwenyewe akishaondoka KUWA MJUKUU HARITHI.na wanafanya hivyo kwa kujua fika kwamba marehemu alishaweka wosia kuwa mjukuu wake harithi.ILA NI TAMAA ZAO TU.

Sasa Yeye anao ushahidi wa kurithishwa wa maandishi? Au wa mdomo wa watu wasiopungua wanna na Kati ya hao wengine wawe Ndugu wa karibu huo ushahidi anao kuwa arilithishwa na huyo Babu Yake?

Kama anao ushahidi aende kwenye Baraza la Ardhi la Halmashauri.

Kama Hana huo ushahidi AHAME HARAKA HANA HAKI HAPO HATA KAMA ALILIENDELEZA HILO ENEO BADO ENEO NI BABU YAKE NA AKIFA WATOTO WAKE NDO WARITHI WAKE YEYE HANA URITHI HAPO.

MJUKUU HAWEZI KURITHI MALI YA BABU YAKE KAMA WATOTO WA BABU WAPO. VINGINEVYO AWE AMEANDIKIWA URITHI NA BABU MWENYEWE KABLA HAJAFA. JE USHAHIDI ANAO?
 
Huu ni ushauri bora kabisa, nakazia HAMA
ukitaka ndugu mkae kwa amani muwe mbali mbali ila mkiishi pamoja kila siku mnaonana lazima mgombane mara mashamba mara huyu akuambie unamroga ili mradi chuki na wivu zinatamalaki
 
Kwa ushauri wa bure amini jambo lilipongwa likupate haliwezi kukukwepa na jambo lililopangwa likukwepe haliwezi kukupata. NA pia waweza penda jambo likawa halina kheri nawe na waweza chukia jambo likaa linakheri kubwa nawe. Kama mwanajamvi hapa naomba uachane navyo hivyo vitu kwani dua ya mwenye kudhulumiwa haina pazia , cha msingi nyanyuka, futa vumbi anza tena mwendo hapo amini kama ulianguka na sasa unaanza safai ambayo ushaijua njia yake ni ipi

Pole sana kaka kama ni haki yake bwasi Mungu atakupa kwa njia nyengine kabisa
 
Haki unadai kwa Baba yako siyo ujombani bhuaana.
hapana.
kuna WOSIA na URITHI
WOSIA.uandika au kutamka mtu anapokuwa hai kabla hajafa.kwa kumtaka mtu ambae sio mtoto wake au mzazi wake nae awepo kwenye mirathi.
MIRATHI hii ufuatwa kulingana na sheria ya kidini au kiserikali.wahusika ni mtoto,wazazi,mke au mume.

sasa inawezekana MJUKUU ASIWEPO KWENYE URITHI ILA KATIKA WOSIA YUPO.
SASA HAPO UTAMKATAAJE MJUKUU?
 
WATU WALIOCHANGIA HAWAJAKUPA UKWELI NGOJA MIMI NIKUPE UKWELI.

NI hivi Tangu lini Mjukuu akarithi Mali ya Babu? Huo utaratibu umeanza lini?

Mama yako mzazi ndiye mwenye haki ya kurithi na Kama alishafariki KABLA hajarithishwa Mali Basi wewe sahau kurithishwa Mali kwa mgongo wa mama yako!!!

Na Kama unadai ulirithishwa Hilo Shamba na Babu yako lazima uwe na ushahidi wa maandishi au wa mdomo na Kama NI ushahidi wa mdomo lazima uwe na mashahidi zaidi ya wanna Kati yao wawepo Ndugu wa karibu na wengine wasio ndugu.

Je unao ushahidi wowote wa maandishi au wa mdomo kuwa Babu yako alikupa Hilo Shamba lotelote?Kana unao kafungue kesi mahakamani na Kama huna Hama haraka Sana kwenye Hilo eneo.

Unadai uliliendeleza Hilo eneo tangu ukiwa mdogo. NI SAWA uliliendeleza na ilikuwa NI jukumu lako kwa kuwa ulikuwa unatunzwa na Babu yako, Unakula,KULALA na kusomeshwa bure Sasa Kwanini na wewe usisaidie kazi za nyumbani? Ulitaka uwe Unakula bure,Kusomeshwa bure na KULALA bure na wewe usishiriki kazi za happy nyumbani kwa Babu yako?

Pia kuliendeleza eneo lisilo lako bado litabaki kuwa siyo lako hata Kama ungejenga ghorofa!!! Bado eneo Hilo litabaki kwa mwenye eneo tu!! Wewe ulipanda miti kwenye Shamba la Babu yako bado Hilo Shamba NI la Babu yako na akifa watarithi Watoto wa Babu yako we huna kitu hapo!! Vinginvyo uwe alikupa mbele ya mashahidi tofauti na happy eneo siyo lako ondoka haraka na kesi hiyo huwezi kushinda.

Cha msingi umwangukie mjomba wako akupe miti kidogo uvune na wewe ukaanze Maisha yako sehemu nyingine. Huo Ndiyo ukweli ninaokupa maana wachangiaji wengi WANAISHIA KUKUAMBIA time et ACHANA nao hawakwambii wewe huna haki pale, Kama huna ushahidi wa kurithishwa Hilo eneo WEWE HUNA HAKI, HUNA CHAKO PALE NA HIVYO HAMA HARAKA SANA

MTUMAI CHA NDUGU HUFA MASIKINI.
Dah! Samahani sana ndugu,Mm ni mtoto wa kiume mkubwa kwa mama yangu Ila bahati mbaya Mama amefariki Miaka 17 imepita lakini wakati anafariki walikua wamegawiwa kila mmoja eneo lake kwa maana ya yeye mama yangu kaka zake na ndugu zake wengine, Lile eneo likawepo kwa kipindi chote hicho nilikua mdogo mpaka nimekua nikaambiwa na baadhi ya ndugu kwamba eneo ni langu kwa maana alipewa mama na mjomba wangu aliyekua analiangalia anasema tuuze tugawane kwa maana Kwa sasa Lina thamani kubwa kama simsikilizi atauza ale pesa yote then nimpeleke mahakamani.Ushauri plz
 
Tatizo wewe sheria hujui, Kuliendeleza eneo la mtu haikupi wewe uhalali wa kulimiliki Hilo eneo hata Kama ungejenga ghorofa!!! Upo hapo?

Tangu lini urithi wa Babu ukarithiwa na mjuu ilihali watoto wa Babu wapo hai?

Yeye anadai ALIPEWA na Babu Yake, Lakini Hana ushahidi wowote utamwaminije?

Kama anao ushahidi wa maandishi au wa mdomo akafungue kesi kwenye Baraza la Ardhi. Na Kama ushahidi NI wa mdomo lazima awe na mashahidi zaidi ya wanna na Kati yao wawepo Ndugu wa karibu na wengine watu Baki wasio ndugu! Je anao ushahidi wowote? Kama Hana ahame haraka Sana eneo Hilo siyo lake,
 
Dah! Samahani sana ndugu,Mm ni mtoto wa kiume mkubwa kwa mama yangu Ila bahati mbaya Mama amefariki Miaka 17 imepita lakini wakati anafariki walikua wamegawiwa kila mmoja eneo lake kwa maana ya yeye mama yangu kaka zake na ndugu zake wengine, Lile eneo likawepo kwa kipindi chote hicho nilikua mdogo mpaka nimekua nikaambiwa na baadhi ya ndugu kwamba eneo ni langu kwa maana alipewa mama na mjomba wangu aliyekua analiangalia anasema tuuze tugawane kwa maana Kwa sasa Lina thamani kubwa kama simsikilizi atauza ale pesa yote then nimpeleke mahakamani.Ushauri plz
Ni hivi, Kama babu yako aligawa Mali kwa watoto wake, akiwemo na mama yako akipewa mgawo wake wa Shamba kabla hajafariki mama yako.

Basi Hilo shamba alilopewa mama yako ni Mali yako halali na huhitajiki kugawana na mjomba wako hiyo Mali.

Hivyo maamuxi ya kumpa utakacho au kutompa kabisa yapo mikononi mwako.

Nenda mahakamani kafungue mirathi ya marehemu mama yako ili Mali za mama yako zikusanywe Kisha taratibu za ugawaji mirathi zifuatwe .

Njoo inbox nikupe namba unipigie nikuelekeze zaidi
 
WATU WALIOCHANGIA HAWAJAKUPA UKWELI NGOJA MIMI NIKUPE UKWELI.

NI hivi Tangu lini Mjukuu akarithi Mali ya Babu? Huo utaratibu umeanza lini?

Mama yako mzazi ndiye mwenye haki ya kurithi na Kama alishafariki KABLA hajarithishwa Mali Basi wewe sahau kurithishwa Mali kwa mgongo wa mama yako!!!

Na Kama unadai ulirithishwa Hilo Shamba na Babu yako lazima uwe na ushahidi wa maandishi au wa mdomo na Kama NI ushahidi wa mdomo lazima uwe na mashahidi zaidi ya wanna Kati yao wawepo Ndugu wa karibu na wengine wasio ndugu.

Je unao ushahidi wowote wa maandishi au wa mdomo kuwa Babu yako alikupa Hilo Shamba lotelote?Kana unao kafungue kesi mahakamani na Kama huna Hama haraka Sana kwenye Hilo eneo.

Unadai uliliendeleza Hilo eneo tangu ukiwa mdogo. NI SAWA uliliendeleza na ilikuwa NI jukumu lako kwa kuwa ulikuwa unatunzwa na Babu yako, Unakula,KULALA na kusomeshwa bure Sasa Kwanini na wewe usisaidie kazi za nyumbani? Ulitaka uwe Unakula bure,Kusomeshwa bure na KULALA bure na wewe usishiriki kazi za happy nyumbani kwa Babu yako?

Pia kuliendeleza eneo lisilo lako bado litabaki kuwa siyo lako hata Kama ungejenga ghorofa!!! Bado eneo Hilo litabaki kwa mwenye eneo tu!! Wewe ulipanda miti kwenye Shamba la Babu yako bado Hilo Shamba NI la Babu yako na akifa watarithi Watoto wa Babu yako we huna kitu hapo!! Vinginvyo uwe alikupa mbele ya mashahidi tofauti na happy eneo siyo lako ondoka haraka na kesi hiyo huwezi kushinda.

Cha msingi umwangukie mjomba wako akupe miti kidogo uvune na wewe ukaanze Maisha yako sehemu nyingine. Huo Ndiyo ukweli ninaokupa maana wachangiaji wengi WANAISHIA KUKUAMBIA time et ACHANA nao hawakwambii wewe huna haki pale, Kama huna ushahidi wa kurithishwa Hilo eneo WEWE HUNA HAKI, HUNA CHAKO PALE NA HIVYO HAMA HARAKA SANA

MTUMAI CHA NDUGU HUFA MASIKINI.
JIBU SAHIHI KABISA KUFUNGIA HUU MJADALA
 
Back
Top Bottom