Ushauri na msaada naelekea kuwa addicted na kitimoto

Ushauri na msaada naelekea kuwa addicted na kitimoto

Niwaheri

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,481
Reaction score
5,357
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
 
Mdudu mtam sn aiseee mazeee🔥🔥.!
1000253807.jpg
 
Me hata nile kila siku sawa tu.

Halafu upishi unatofautiana nahisi kuna sehemu huku home nakulaga naona tamu kuliko kwingine kote.. Yaani nilikua Moro kule niliona hata hawajui kuitengeneza lost ya kitimoto .

Shida ni gharama.. mlo mmoja tu unatumia pesa nyingi inakua hasara.
 
Duh natokaje kwenye huu uraibu mi mara nyingi napika nyumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom