Ushauri na msaada naelekea kuwa addicted na kitimoto

Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
Hana shida huyo hata uwe unakula kama dozi ya paracetamol ni proteins tupu tena protein safi kabisa ilimradi iive vizuri ni safi na salama kabisa kwa afya tena ni salama kuliko hata nyama ya ng'ombe kwa sababu mafuta ya kitimoto hayagandi kwenye mishipa ya damu na hayana karoli nyingi tofauti kabisa na mafuta ya ng'ombe
 
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
Kula kitimoto acha uoga.
 
WhatsApp Image 2024-10-16 at 19.49.43.jpeg
 
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
UMENIKUMBUSHA MBALI SANA NAMNA MZANI WA KUPIMIA NGURUWE ULIVYO YEYUKA BUCHANI BAADA YA SHEKH MAZINGE KUVAMIA BUCHA YA NGURUWE 😁😁
 
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
Pole sana,mimi nimekuwa mraibu wa video za ngono... xhamsters
 
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
Njoo inbox
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom