Ushauri na msaada naelekea kuwa addicted na kitimoto

Ushauri na msaada naelekea kuwa addicted na kitimoto

Fuga majini hutokula tena kitimoto. Btw nyama nyama ya nguruwe ni safi na salama zaidi ya mbuzi na ng'ombe kikubwa ipikwe vizuri.
 
Acha kuwashitua akina salum, wasije wakaanza kula mdudu akapanda bei
Hao ndiyo wadau wakubwa,jana nilikuwa Iringa mjini pale,nina jembe langu la kuitwa Dulla hatujaonana muda mrefu zaidi ya calls tu,jana nilipokuwa napita tukapanga kuonana,aaah alinisurprise sana kuna chimbo alinipeleka hatari sana......
 
Me hata nile kila siku sawa tu.

Halafu upishi unatofautiana nahisi kuna sehemu huku home nakulaga naona tamu kuliko kwingine kote.. Yaani nilikua Moro kule niliona hata hawajui kuitengeneza lost ya kitimoto .

Shida ni gharama.. mlo mmoja tu unatumia pesa nyingi inakua hasara.
Hivi ile nyama ikiwa mdomoni hua unakumbuka hizo hasara?
 
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
Kila kitu kwa kipimo. Kila jambo kwa kiasi
 
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.

Sijui kiafya ikoje kama kuna namna ya kuninasua nisaidieni maana nakoelekea ni kubaya imagine anataka kumzidi na kuku.
Piga kitimoto mwamba wala usisikilize ya watu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom