Ushauri: Mwanaume hapendi kunisaidia

Ushauri: Mwanaume hapendi kunisaidia

Bahari za leo ndugu zangu,

Naombeni ushauri ndugu zangu,

Naona hili jambo kama linaniweka njia panda vile. Nina mwanaume mmoja ni rafiki yangu kimapenzi, ila tatizo lake kubwa ni kwamba hajui kusaidia na ikitokea nikawa na shida nikamuomba jambo kapesa kidogo yeye hanipi ila anasema tu mimi ukizaa na mimi ndio nitakupa hela.

Ndugu zangu huyu naona hanifai hata kidogo.

USHAURI WENU WAPENDWA

Zaa nae akufae kikubwa...
 
Kimbia atakuzalisha asepe hawa viumbe si wa kuwaamini
 
Back
Top Bottom