Nyie si ndio wale manaosomeshwa na wanaume alafu mkimaliza elimu mnaleta dharau na vijembe kisha mnawasahau kabisa na kusema taja gharama zako nikurudishie????Bahari za leo ndugu zangu,
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Naona hili jambo kama linaniweka njia panda vile. Nina mwanaume mmoja ni rafiki yangu kimapenzi, ila tatizo lake kubwa ni kwamba hajui kusaidia na ikitokea nikawa na shida nikamuomba jambo kapesa kidogo yeye hanipi ila anasema tu mimi ukizaa na mimi ndio nitakupa hela.
Ndugu zangu huyu naona hanifai hata kidogo.
USHAURI WENU WAPENDWA
Asante kwa ushauriHakufai kabisa
Mie co wa hivyo nduguNyie si ndio wale manaosomeshwa na wanaume alafu mkimaliza elimu mnaleta dharau na vijembe kisha mnawasahau kabisa na kusema taja gharama zako nikurudishie????
Hata wewe hufai kuwa naye
Nitaanzaje kuzaa bila ndoa kwa mfanoJamaa yupo sahihi maana nyinyi nivigeugeu kuzaa nae itakua commitment
Umeona eeeeeLimwanaume lisilokupa hela la nini? Na zile shombo zao sasa hata hela ya sabuni ya huko chini hakupi? Anazidi kukutanua tu kiharage chako,shoga una moyo!![]()
![]()
![]()
Hebu tupa kule takataka hiyoo,....mxiuuuu
Yeye hataki ndoaOlewa kwanza pesa utapata bila tatizo
Khaaaa!Safi sana huyo ndio mwanaume sasa changanya akili ujtaftie mwenyewe
nadhani unaamini JF kuna wanaume wa kukusaidiaBahari za leo ndugu zangu,