shushushu_mchokozi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 405
- 265
- Thread starter
- #41
Jisepe zako hukonadhani unaamini JF kuna wanaume wa kukusaidia
Ukiwa huna cha ku -comment kaa kimya
Watu tuna heshima zetu ujue
We leta choko choko tu
Hakuna atakae kujibu ovyo hapa
Chokonoa uwezavyo mie ctakujibu kitu
Usinitafutie ban mtoto wa watu bure