Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,559
- 45,879
ndugu zangu unawajua?Kwann usichukue mtt wa ndg yako ambae uwezo wake mdg umlee maana huku africa hatuna desturi ya kuasili watt.
Niwajue wa nn?!ndugu zangu unawajua?
mbona unasema nichukue watoto kwao?Niwajue wa nn?!
aya vaa pampas nakuja kukunyonyeshaNjoo unichukue mimi nitakua na adabu
Ulikuwa unataka ushauri au shari?!mbona unasema nichukue watoto kwao?
ushauriUlikuwa unataka ushauri au shari?!
Yani umenifanya nicheke kwa nguvu hatareeeNiwajue wa nn?!
ahahaaaa jf ni shida acha tuYani umenifanya nicheke kwa nguvu hatareee
ana maana kuwa,vipi kama hana ndugu?Ulikuwa unataka ushauri au shari?!
sawa mkuu asante kwa ushaurichukua angalau ka 2-3 years.
mimi nina kaka yangu aliasili mtoto akiwa na miaka miwili now ana miaka saba na hajui kuwa aliasiliwa.
Anapendwa hatari and she is living large.
Tayari nishavaa pampasaya vaa pampas nakuja kukunyonyesha
asante mkuu kwa kunielewa hilo swala nilishaelezaana maana kuwa,vipi kama hana ndugu?
Labda kuna wenzetu hawana extended familyana maana kuwa,vipi kama hana ndugu?
wewe unajua kusamehe?miaka miwili .. wa kiume chukua ili ujifunze kusamehe
bado najaribu mkuu ila nimeshapiga hatua fulani .. ila nataka na wewe ujue japo kidogo ukiwa na mtoto wa kike utampandikiza chuki kuhusu wanaume si vizuri,wewe unajua kusamehe?