Ushauri: Mtoto wa kuasili anahitajika haraka

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,614
Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?

Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu na mateso ya wanaume waliyonitendea humu duniani?

Any way nimemuachia MUNGU

Naombeni ushauri wa dhati jamani, kama ni ada niandae inshalah nitapata hatutakufa njaa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom