Ushauri: Msichana wangu anavaa vibaya

Ushauri: Msichana wangu anavaa vibaya

Nimejifunza vitu vingi humu JF. Kuna watu ukisema una gari wanachukia, ukisema una nyumba wanachukia,ukisema umeenda vacation SA,US etc wanachukia. Ukitaka wafurahi wewe sema leo asubuhi wakati nagombea daladala kiatu kimebanduka soli au leo mama mwenye nyumba katupa vyombo nje sina kodi watafurahi sana.
dah kweli wivu ni ugonjwa mbaya.
 
Dah kwahiyo umeamua uanzishe uzi wa kutongoza...eti laki mbili kila mwezi kwa ajili ya nguo
 
we nae sio..yani mkeo akasagule Yale matambara pale mwenge?ebu kuwa serious
na vipi kuhusu papuchi yake,nayo haijarembwa?
 
Mi nikajua hajui kuvaa nguo mwilini kumbe anavaa lakini uzipendi.Nilijua labda anakuwaga UCHI.
 
Embu nyoosha maelezo anavaa kitom boy au nguo anazovaa huzipendi unataka avae kama wakina gigy au anavaa magagula kama m'bibi
 
Wakuu habari zenu,

Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.

Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.

Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.

Naombeni ushauri.
Yaani vitu vingine buana,unampa hela hanunui nguo nzuri,kwa nini sasa wewe usiwe unamnunulia hapo mwenge umletee avae?,au umekuja kuleta tangazo la lift na kuhonga laki mbili ya kusuka?,au unataka ushauriwe nini?
 
Ipo siku.
Ukinununa unipe hata lift nitoe nuksi...
Nitakuwa nishaandaa ndugu zangu muhimbili nikizimia we utaniavha hapo th,hamna shida watanipokea.
Nalipenda kweli kweli hili gari.
 
Mkuu huyo ndio mtamu
Usimuamshe au akishaamka akajua na kuvaa vimini na vipedo akasuka na rasta hutomwona tena utaishia kumpigia Nyeto tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom