Ushauri: Msichana wangu anavaa vibaya

Ushauri: Msichana wangu anavaa vibaya

Sio bure itakuwa na wewe hujipendi.

Na kwa upande mwingine sitaki kuamini maneno yako kwa sababu kwa sisi wanawake kuna umri ukifika ni lazima mwanamke ajipende na sio kwa mavazi bali hata mwili wake kwa ujumla.
Sawa kabisa
 
Sema unajipigia promo madem wakushibokee kwa usawa huu utoe iyo hela na demu mchafu ivo..... Acha udomo zege aseeh tongoza kihalali
 
Wakuu habari zenu,

Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.

Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.

Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.

Naombeni ushauri.
Ila wenzio wanmpenda kweli hivyo alivyo...
 
Mimi bila kuona picha zake hapa JF sitaamini maneno yako.
Weka picha zake akiwa ametupia hayo mavazi yake usiyoyapenda ili tukushauri vizuri. Unaweza kukuta binti anatupia pamba kali lakini wewe tu huzipendi.
 
Hivi bado kuna watu mnaona gari big deal zama hizi? Gari hadi 3m unapata? Mnapenda kusikia stori watu wanapata shida tu mtu akisimulia vitu fulani vidogo nongwa.
It is called envy at it's best....na ni mentality ya kipumbavu. Ile ya I don't wanna see other do good than me... SHM
 
Wakuu habari zenu,

Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.

Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.

Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.

Naombeni ushauri.
Pm nikupe ushauri
 
eti msichana wangu......kweli kabisa unampenda unamtuma akainamishe kiuno kusagula......pumabafu sana wewe.....ulipompenda ulimkutaje???? ila jua moja......kuna walume wanamsubiria umrembe...... then utajua kizuri chetu....kibaya chako.....

Cku ukinasa ndo mm natakuja kujutoa kwa kukusukumia nyama, kula wa wengine na anayehitaji hii dawa aje inbo. Impatie, nataka tukomeshe wanaopenda wake za watu, nimepewa kutoka kenya, mwenzangu katest kigoma mtu kanasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom