Ushauri: Msichana wangu anavaa vibaya

Ushauri: Msichana wangu anavaa vibaya

Sixv2

Senior Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
170
Reaction score
97
Wakuu habari zenu,

Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.

Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.

Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.

Naombeni ushauri.
 
anavaaje mkuu nusu uchi, hajui kupangilia au? kama unampenda mvumilie huku ukimrekebisha kwa vitendo
 
Hahahahaha mi naamini kwa levo yangu sasa hivi katika hii tasnia kutoka na mademu mazombi siwezi tena.

Yaani ni inatoka kazi kali inaingia kazi kali.

Bob huyo ndo levo yako, kazana uipite hiyo levo.
 
Wakuu habari zenu,

Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.

Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.

Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.

Naombeni ushauri.
poleee muachee tu ivyo ivyo akiwa mrembo utaibiwa..
 
eti msichana wangu......kweli kabisa unampenda unamtuma akainamishe kiuno kusagula......pumabafu sana wewe.....ulipompenda ulimkutaje???? ila jua moja......kuna walume wanamsubiria umrembe...... then utajua kizuri chetu....kibaya chako.....
 
Inahitaji moyo kuwa na mrembo ambaye hajipendi maana hata hamu ya kuwa naye mahali palipotulia haipo. Akili mkichwa na hili halikuhitaji ushauri kwa kweli toka humu.

Wakuu habari zenu,

Mimi nina msichana wangu nikajua nitakubadilisha, cha kushangaza nampatia hela ili aweze kwenda Mwenge pale asagule sagule kwenye mitumba lakini mwenzangu ndo hamna kabisa.

Anavaa minguo mibaya kama ya wanaume, mda mwingine nikiwa napita Mwenge naona watu wamependeza kinadada wapo busy na kusagula sagula, natamani hata kuwapa lifti niongee nao.

Najaribu sana kumwambia huyu mpenzi wangu kila mwisho wa mwezi nampa laki 2 asuke anunue vinguo vizuri lakini wapi, mpaka mimi mda mwingine naenda naunua namletea lakini ndo hivyo hata urembo mwenzangu haujui, na mimi napenda mwanamke mrembo wakati namchukua nilijua nitambadilisha ila sasa nanyoosha mikono natamani nimpige tu chini.

Naombeni ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom