Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Utakuwa sio mwanaume jambo dogo kama hilo linakusumbua
 
Kama hujaoa, si umweleze tu yanayokusibu? Sio umbake, mpe ukweli taratibu akuelewe ili abadilike au atatue shida yako.
Kama umeoa, hiyo ni appetizer ya kumtafuna mkeo usiku kucha.
On a serious note, housegirl kuvaa kanga moja linakuwaje tatizo kwako kama unajielewa? Huyo ni kama binti yako, kwanini ukwazike kwa mavazi yake? Kuwa serious na utafute mwanamke nje atakaekidhi haja zako na sio kujishusha kwa kumtamani mtumishi wako wa ndani maana itakugharimu na inaweza kumharibia maisha huyo binti.
 
Asante Mkuu ushauri umekubalika . Nipo kwenye ndoa. Hawa wadada wana majalibu sana
 
Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please
Ahaaa ni shida sana mtu kuomba ushauri wakati tayari ana maamuzi yake
 
Piga tu mkuu na ili kuepuka mambo ya mimba piga tigo tu mambo yawe salama
 
Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please
Mwambie mkeo mumrudishe
 
Back
Top Bottom