Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Kibwenzi.. maana yake kituko au wavituko.

Nakushauli mfukuze huyo dada wa kazi tafuta mwenye maadili lasivyo unatafuta doa la kwenye ndoa, ambalo halitafutika na pia utaonekana kituko mbele ya jamii nzima.
As ante kwa ushauri mkuu ntaufanyia kazi.
 
Endelea kukemea. Hakuna mwanaume anayemheshimu mkewe akasema anategwa na house girl itakuwa lipo ndani ya moyo wako. Ni akili huona sio macho.
 
Mimi huwa mtu akisema housgirl kamtega namshangaa sana kwasababu wewe ni boss wake hivyo anatakiwa akuheshimu na awe na mipaka.
Tatizo kuna watu wanawaachia wafanyakazi wao wanawazoea mpaka wanapitiliza na ndio hapo heshima inashuka.
Maboss wote wangekuwa wanaendekeza ujinga kwa wafanyakazi wao kazi zisingeenda.
Eti mtu umemuajiri mtu halafu anakufanyia vitu vya kijinga hivo hata haogopi ama kweli amekupanda kichwani.
Maamuzi ni yako kwakweli.
 
Back
Top Bottom