Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Nimehisi labda tumekaa nae miaka miwili hajakutana kimwili ..joto lipo juu
Sasa wewe umemfungia Dada wa watu nyumbani kwako unategemea nini ?! Kama hautaki kumsaidia mpatie likizo hata week Moja! Akirudi angalia kama atakutega tena.. ! Kama hauwezi kutoa hiyo likizo haunabudi zaidi ya kumpatia haki yake... Sawa ?!
 
Chelewa kutudi home mpaka mkeo arudi ndio na ww urudi...kwan mkeo atakua amesharekebisha hali kidogo kwan hawezi kumkuta amevaa hvyo akanyamaza
 
Sasa wewe umemfungia Dada wa watu nyumbani kwako unategemea nini ?! Kama hautaki kumsaidia mpatie likizo hata week Moja! Akirudi angalia kama atakutega tena.. ! Kama hauwezi kutoa hiyo likizo haunabudi zaidi ya kumpatia haki yake... Sawa ?!
haki gani Mkuu hiyo zaid ya kumpa mshahara
 
Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please
Una miaka mingapi?
 
Hivi haiwezekani hii kitu eeh?

inawezekana lakini inategemea na mzingira sasa huna mtoto mchanga, huna mgonjwa nyumbani, kinachokurudisha mapema ni nini? ndo maana nikasema ukitaka kujiepusha na vi kesi vya kipuuzi kama baba chelewa kurudi home ili mkeo apambane navyo ndio kazi yake hiyo
 
Nimepata wazo la kumtimua , Leo kaniamkia na kanga moja bila kufuli ndani , naona shetani ananizdshia majaribu
 
Mkuu kama una mama mtu mzima anayejitambua kufanya kaz nitafutie, hivi vsichana vina mapepo

hapana mkuu sina mtumzima yeyote kwanza hawa watu wazima wa hapa mjini si ndo utaharibu ndoa yako vizuri? nakushauri tafuta msichana mdogo toka vijijini
 
haki gani Mkuu hiyo zaid ya kumpa mshahara
Kila binadamu mtu mzima anahaki ya kupewa penzi.. ! Alimradi avunji sheria.... !
Seriously mkuu mpatie haki yake huyo mdada ! Ukishindwa mpe hata likizo tena iwe na posho kabisa.. ! Au kiona hauwezi yote ! Mkaribishe Mdogo wako wa kiume nyumbani akusaidie kazi.. !
 
huyo Dada aniletee mm huku
 
Back
Top Bottom