Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Ndio maana nkaja uku kuomba ushauri.

Acha uzembe unaachaje kujiongeza kwenye mambo madogo kama haya? Makubwa je utaweza kucontrol?? Acha kujaza sever za jf omba ushauri wa maana... Stupid.
 
Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please
Wewe ni Ommy Dimpoz nini? Jogoo hapandi mtungi sio bure! sasa huyo sharobaro jirani yako akianza kumpiga miti roho isije anza kukuuma, maana umeshindwa kazi
 
Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please
Fanya Mazoez kwa House Girl kabla ya Mechi kwa mke wako mkuu
 
Kwani huyo hg wako ana chura, kama hana hata akivaa khanga moja shida iko wapi?
 
Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please

Mbona huyo house girl wako ni mtu poa sana, yaani ni mstaharabu kwa sababu hajakuomba umgegede ila anakuvalia kanga moja umuombe ile kitu akupe kwani na yeye ni binadamu anahitaji kupumuliwa na kusuguliwa kama wanawake wengine, muonee huruma tafadhali.
 
Hapo unachezea nyaya za KV 35000 kwa sababu umeme umekatika... Vuta subira utailaumu siku ya kubalehe....
 
Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please
Na wewe mtege Ili wote mtegane.
 
Unataka kuishi kwa majuto na tabu ndani ya nyumba yako,ukishamaliza kumgegeda ndio mwanzo wa majuto ushauri muheshimu mkeo achana na uyo msichana wa kazi
 
Back
Top Bottom