Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

 

Attachments

  • 1476800245910.jpg
    1476800245910.jpg
    15.8 KB · Views: 48
Kibwenzi.. maana yake kituko au wavituko.

Nakushauli mfukuze huyo dada wa kazi tafuta mwenye maadili lasivyo unatafuta doa la kwenye ndoa, ambalo halitafutika na pia utaonekana kituko mbele ya jamii nzima.
 
Mimi nafikiri mwajili ana haki ya kumwambia anayemfanyia kazi afanye nini na aina ya mavazi.

Ila wewe sijui unaishi mwenyewe au umeoa, ila inaelekea unapenda kumuona hivyo.

Ungekuwa unajiheshimu ungeshakataza yeye kuvaa hivyo au hata kupitia kama una mke au gf.
 
Wewe ni jambo dogo sana wewe ni kumwondoa fasta hapo

Jinsi ya kumwindoa

Mwite mkeo mwambie nimempenda biti huyu mwombe akukuwadie

Uone mziki wake ataondolewa fasta tena fasta
 
Kibwenzi anataka kumgegeda HG wake eti anadai damu yake inachemka! Na kabla ya kuomba ushauri kwa mkewe kaamua kukimbilia JF! Makubwa haya!

Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,

House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.

Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.

Ushauri please
 
Back
Top Bottom