venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,744
- 3,997
Kuliko kukemea pepo,mkemee yeye aache kukutega.Ilo pepo ndio nalikemea sana ..
Shetani hapendi ujinga, la sivyo atakuzidi maarifa.
Kuliko kukemea pepo,mkemee yeye aache kukutega.Ilo pepo ndio nalikemea sana ..
sasa limekuzid vipi nguvuNimehisi labda tumekaa nae miaka miwili hajakutana kimwili ..joto lipo juu
bora viti virefu utajiepusha na vingi na si kuwahi kurud utakuja pata kesi kibao na kuanza kumfatilia mkeo kwa vitu vya kipuuziSasa marafiki ndio naishia viti vrefu. Sisi wengne wajasiriamali tuko free
Kama huwezi kujaribu unaomba ushauriana wa nini sasa? Basi mfukuzeKweli mkuu siwez kujalibu . Heshima itakua hamna
Kwa hiyo ungekuwa una shamba boy arafu ana tabia ya ku.dinda mbele yako ungekuja kutuomba ushauri wa kumpa tak.o lako? Watu wengine wanatulazimisha tubariki unzinzi waoNaombeni ushauri jamani nipo njia panda,
House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.
Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.
Ushauri please
ndo uzoefu wako mkuu?Hakuna binadam anaeshika mimba haraka kama housegirl! Kuwa makini bro